Recent content by Cnkwabi

  1. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    usajili ndo tatizo langu....namba yangu ni 0762099513 imesajiliwa kama chakupewa kasingo badala ya chakupewa kansigo..hili jina sijui kwanini mnapenda kulikosea......
  2. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Series ya 24 season 9 na kuendelea anisaidie

    sipo moshi... nipo dar es salaam..kama kuna link naiomba nidownload...asanteee
  3. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Series ya 24 season 9 na kuendelea anisaidie

    nipo gongolamboto dar es salaam...!
  4. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Series ya 24 season 9 na kuendelea anisaidie

    msaada mwenye hii series naiomba please....naipenda sana
  5. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Softwares za Programming

    Nitumie Na. Mimi link. Kupitia e mail yangu chakupewankwabi@gmail.com. Thanks
  6. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa series ya 24 hours, imerudi tena!

    kama una link naomba unitumie.....naipenda sana......nimejaribu imegoma
  7. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Somo kuhusu WhatsApp

    Nenda ferry ukajifunze
  8. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zitatoka lini?

    Asante kwa ushauri...Ukweli siku zote hua unauma...ila kumbuka kutumia lugha ambayo haitawakwaza wadau... Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  9. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zitatoka lini?

    NIMEKUSOMA NA KUKUELEWA MKUU...!
  10. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zitatoka lini?

    Nikweli kabisa....uvumilivu ndio jambo la busara kwa sasa...ila pia kujishughulisha kama ulipata sehemu pia sio mbaya...!
  11. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

    Nitafute Nini tena kijana...nilikua nakukumbusha tu kuzingatia orthografia...au nimetenda kosa...?
  12. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

    Kumbe upo macho....hahahaaaa...nilikua sijui...hapo nilijaribu kumrekebisha orthografia ..akumbuke kuandika vizuri...au nimefanya vibaya kumkosoa...?
  13. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

    Romous ndo nn....?au ulimaanisha rumours..,?
  14. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Je kwa alama hizi anaweza kujiunga na chuo ngazi ya Cheti?

    Vipi masomo mengine alipata alama gani...?
  15. Cnkwabi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujiunga na T. I. A

    HUYU KIJANA HAKU SPECIFY KUA NI FORM SIX AU FORM IV.....YAWEZAKUA ALIKUA KAMALIZA FORM VI NYIE MNAJIBU BILA KUULIA VYEMA
Back
Top Bottom