Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Mimi mbona tayari nimeshaelewa mkuu!!Natamani nikuelekeze lakini nikiandika inajibold [emoji23][emoji23]

Hahahaha hongera mkuuMimi mbona tayari nimeshaelewa mkuu!!
ila wewe huwezi kuitalicize![emoji1]Hahahaha hongera mkuu
Hiviila wewe huwezi kuitalicize![emoji1]
Je ukitaka maandishi yawe bold na italic hapo hapo inakuwaje*WAPENDWA WOTE*
Leo nitawaletea somo la namna ya kupangilia fonts za maandishi yako katika Whatsapp
Kina wakati unataka kuonyesha Kichwa cha habari ama msisitizo kwa ku-bold ama ku-highlight kipengele katika sentensi yako
Fuata njia hizi;
Ku-bold:
Weka alama ya nyota au arsterisks kama ionekanavyo kwenye mabano (*) kila mwanzo na mwisho wa neno/ maneno unayotaka kuyakuza
Kwa mfano;
*Tukiweka kando itikadi zetu*
Vile vile ukitaka kufanya herufi ziwe za mlalo au italic kwa kingereza inakubidi uweke alama ya underscore kama ionekanavyo ndani ya mabano(_) mwanzo na mwisho wa neno/ maneno uliyokusudia
Kwa mfano
_Hakika tutasonga mbele_
Na iwapo utataka ku-strikethrough (nimekosa neno mbadala sahihi la kiswahili)
Basi yakupasa kabla na baada ya neno/ maneno uliyokusudia uanze na kialama kiitwacho "tilde" chenye muinekano huu ndani ya mabano (~)
Kwa mfano
~Vinginevyo maendeleo na demokrasia kwetu itakuwa ndoto za mchana~
Nakutakia majaribio na uandishi mpya.....
***"******"""""****""""***
*MAY THE ALMIGHTY GOD GUIDE AND PROTECT ALL OF US, LOVE YOU ALL*.....
_Best regards_
Tumia alama zote _*mfano*_Je ukitaka maandishi yawe bold na italic hapo hapo inakuwaje
Nenda ferry ukajifunzeJinsi ya kukaanga samaki je
Hapana!Hivi
Fanya update wasapYangu window 8.1 imekataa
embu nielekeze nami tufaidi woteMimi mbona tayari nimeshaelewa mkuu!!
.0[nielekeze mm]Natamani nikuelekeze lakini nikiandika inajibold [emoji23][emoji23]
Subiri mwalimu mzungu naona mwalimu wa kiafrika hutaelewaHata sijaelewa
Nikupe namba ya dkt Manyaunyau? Anaweza kukurekebishiaYangu window 8.1 imekataa
Mbulu pole, mm yalinikuta km ww tatizo ni uwezo wa simu hasa uwapo wharsapp. Fanya kitu kinaitwa root kwenye simu wapelekee wataalamu simu yako itaongezeka vingi no mada hii ipo humu2 JFSijaelewa nifate mkumbo mkuu? Nieleweshe jomba
Nielekeze mkuu niweze ku rootMbulu pole, mm yalinikuta km ww tatizo ni uwezo wa simu hasa uwapo wharsapp. Fanya kitu kinaitwa root kwenye simu wapelekee wataalamu simu yako itaongezeka vingi no mada hii ipo humu2 JF
THENKI YUUUUUUUUU*WAPENDWA WOTE*
Leo nitawaletea somo la namna ya kupangilia fonts za maandishi yako katika Whatsapp
Kina wakati unataka kuonyesha Kichwa cha habari ama msisitizo kwa ku-bold ama ku-highlight kipengele katika sentensi yako
Fuata njia hizi;
Ku-bold:
Weka alama ya nyota au arsterisks kama ionekanavyo kwenye mabano (*) kila mwanzo na mwisho wa neno/ maneno unayotaka kuyakuza
Kwa mfano;
*Tukiweka kando itikadi zetu*
Vile vile ukitaka kufanya herufi ziwe za mlalo au italic kwa kingereza inakubidi uweke alama ya underscore kama ionekanavyo ndani ya mabano(_) mwanzo na mwisho wa neno/ maneno uliyokusudia
Kwa mfano
_Hakika tutasonga mbele_
Na iwapo utataka ku-strikethrough (nimekosa neno mbadala sahihi la kiswahili)
Basi yakupasa kabla na baada ya neno/ maneno uliyokusudia uanze na kialama kiitwacho "tilde" chenye muinekano huu ndani ya mabano (~)
Kwa mfano
~Vinginevyo maendeleo na demokrasia kwetu itakuwa ndoto za mchana~
Nakutakia majaribio na uandishi mpya.....
***"******"""""****""""***
*MAY THE ALMIGHTY GOD GUIDE AND PROTECT ALL OF US, LOVE YOU ALL*.....
_Best regards_
Ukitaka uyabadili rangi je?*WAPENDWA WOTE*