Kweli jk hatukuona umuhimu wake pind alipokuwepo madarakani watu walimdhihaki sana ,leo hii jk alikuwa ni muhimu sana kwa tabaka la wanyonge waliosomea ualimu na afya ajira nje nje bila kubagua arts or science now si ka awali kwanza ajira za pigwa danadana tena kwa ubaguzi unaambiwa walimu wa math ndo priority du kwa wasatonge kama mimi BED policy management )kiswahili)tumbo joto sana yaani unachoka total hata plan B unashindwa kufikiria,du magufuri ni hatari sana anachoangalia ni nchi na s ukombozi wa mtu binafsi aya bhana its ok,sijui jesca akimaliza chuo nae atasuffer like dis.