Recent content by Cmon ptr

  1. Cmon ptr

    I need a new Samsung Galaxy A7 (2016)

    Ingia frshers party utapata kwa bei ndogo zaidi ###70% discount
  2. Cmon ptr

    Natafuta Kitabu cha Abunuwasi

    Sasa hv page ya Mange Kimambi ndo inatafutwa sana... Yan mtu atajibana wee. Apate tu bundle kwaajili yaku peruzi kwa Mange[emoji39][emoji39][emoji39]
  3. Cmon ptr

    Heche: Mkuu wa Mkoa anamuomba radhi Magufuli, CHADEMA kushinda kwenye udiwani, kuna haja ya sisi kushiriki uchaguzi?

    Huu ni mwaka wa kiki tu[emoji119] usipoyaona ya dokta shika utayaona ya viongoz fulan
  4. Cmon ptr

    Picha: Mama Wema akiwa Nairobi kumuona Tundu lissu

    Duuh[emoji144][emoji144][emoji144]umbea umekuwa kama mlo wa nchi sasa...
  5. Cmon ptr

    Mange atoa tetesi za Wema na mama yake kurudi CCM

    Huo ndo unaitwa usajili wa ligi kuu ya mabao ya [emoji113]
  6. Cmon ptr

    Vyuma vimekaza

    Mwenye zile meseji ambazo ukiwafowadia watu kumi unafanikiwa kimaisha anirushie jaman vyuma vimekaza knoma [emoji3]
  7. Cmon ptr

    Siasa za ushabiki ndio zimetufikisha hapa

    Ww una nn???
  8. Cmon ptr

    Siasa za ushabiki ndio zimetufikisha hapa

    Mashabiki katika vyama vya siasa ni wengi kuliko wapiga kura, Na ndo wakwanza kulalamika kuwa kura zimeibiwa. Wakati hawakuonyesha ushirikiano kwenye upigaji kura.
  9. Cmon ptr

    #ElimikaWikiendi

    Fanya kitu sahihi na sio kitu rahisi
  10. Cmon ptr

    Siasa: Tusiwaogope viongozi, tuwakosoe waziwazi

    Kujenga mazoea ya kutii viongozi hata katika mambo haramu ni dalili ya woga, ni kukaribisha udikteta.
  11. Cmon ptr

    Misemo kuntu

    Huwezi kupiga mluzi wakat unatafuna karanga[emoji9] [emoji9] [emoji9]
  12. Cmon ptr

    Mniombee Wadau... Joto limepanda limefika 44° C natokwa jasho lakini natetemeka kwa Baridi.

    Israel kashakugongea alarm aisee... Yan umebakiwa na extra time tu hapo[emoji85]
  13. Cmon ptr

    Misemo kuntu

    Mafanikio ni kupata unachokitaka Lakini Furaha ni kutaka unachokipata[emoji122][emoji122][emoji122]
  14. Cmon ptr

    msaada jamani nina kibamia nifanyaje

    Fanya mpango utengeneze mlenda sasa upate wa kulia ugali[emoji16]
Back
Top Bottom