Siasa za ushabiki ndio zimetufikisha hapa

Siasa za ushabiki ndio zimetufikisha hapa

Cmon ptr

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
17
Reaction score
9
Mashabiki katika vyama vya siasa ni wengi kuliko wapiga kura,
Na ndo wakwanza kulalamika kuwa kura zimeibiwa. Wakati hawakuonyesha ushirikiano kwenye upigaji kura.
 
Mashabiki katika vyama vya siasa ni wengi kuliko wapiga kura,
Na ndo wakwanza kulalamika kuwa kura zimeibiwa. Wakati hawakuonyesha ushirikiano kwenye upigaji kura.
mkuu unatafuta kutukwana humu si bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

kuna watu chama chao hakina kasoro humu watakupaka mapovuu.

hata ukiwa upande wao siku ukikosoa tu umekwisha watatamani wakutafune [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom