Kaka nipo nje ya mada, kuna jamaa kaniambia Zambia kuna soko la Magari bei nafuu sana kulinganisha na Tz. Ananiambia kuna jamaa kachukua Vanguard Toyota mpaka TZ kwa around 22m mpaka usajili. Je hilo soko lipo kwa loophole ipi?
Akili za mtoa mada ni kwamba tukubali kupigwa ili wafanyabiashara wapate hela ya kuizungusha. Hajaongelea kuhusu wewe mnunuzi kubana pesa kwa kununua kwa mchina ili na wewe hiyo pesa inayobaki ule nyama uende na kitambaa cheupe.
mtoa mada anamuongelea Hardmad ila ni kama vile kaparamia uzi anashindwa hata kuweka basic info. Fid Q kamjibu kuwa wasanii wameshakuwa wengi asubiri tour zijazo. Sema jamaa kumuacha jau sana, nasikia na belle 9 hayupo.
Ila mambo ya Dar bwana yanachekesha, huyo mtu nimeanza kumsikia miaka na miaka, lakini hakuna hatua zozote mnazomchukulia. Mtu yupo, mnamjua, mna ushahidi wa uhalifu, alafu kikubwa mnaweza kufanya ni kulalamika mitandaoni, serious?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.