Recent content by cleverman

  1. cleverman

    Faida kibao za kuoa mke asie na kazi/ hela a.k.a mama wa nyumbani

    Aliyeoa au kuolewa ndiye atakaekuelewa hapa mkuu.... Well said
  2. cleverman

    Msemaji wa Serikali aitisha mkutano na vyombo vya habari leo mchana

    Wamekubali kutulipa asee... Ila dau limepungua... Njia wanayotumia kutulipa ni ku finance miradi kadhaa... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. cleverman

    Mkinga: Barrick walikodi kampuni kutoka SA kuibua makontena ya mchanga

    Nmekuelewa mkuu... Wasiwasi wangu ndo hapo sasa maana nawaza tu ile kamati data zake ilizitoa wapi... Kama kweli ni kwenye zile kontena basi ujue hapo kuna wizi ulifanyika na vinginevyo kuna kiini macho
  4. cleverman

    Mkinga: Barrick walikodi kampuni kutoka SA kuibua makontena ya mchanga

    Hapo kuna a hidden fact.. Huenda yale makontena ni tofauti na yale ya kawaida yanayosafirishwa...huenda walitumia hayo kuiba madini wakastukiwa...
  5. cleverman

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Tatizo sio zero tatizo kutumia vyetu vya mtu... Ndo tatizo linakuja hapa
  6. cleverman

    Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Kiukwel this is not fair.... Imagine mtu alipwa 1,000,000 ....after deduction ilikua 638,000 baada ya 15% huezi amini Salary Slip saiv inasoma 568,000
  7. cleverman

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    Habar za kuvumishwa tushazoeshwa kwa sababu baadae unakuta inakua ya Kwel.... So hamna namna nyingine... Wabongo ukiwakosoa huna budi na ww uliekosoa kukosolewa.... Wajanja wamenielewa
  8. cleverman

    Mtandao wa GSM Foundation, RC Makonda na kinachoendelea...

    Yangu macho.... Mtajane tu list ikifika mwisho msituambie mmewapeleka mahakamani.... Mtuambie mmewafanya nn... Maana hata huko watakutana tu wanajuana... Ikaishia hewani
  9. cleverman

    Naogopa kwenda ku-refuel (kujaza mafuta) gari aina ya Nissan x trail... Msaada.

    Haha... Sio shemeji asee... Ni ugeni tu.... Clever? Yes. Ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui... So it's better to ask.. even a silly qn.
  10. cleverman

    Naogopa kwenda ku-refuel (kujaza mafuta) gari aina ya Nissan x trail... Msaada.

    Helo wana jf habarini za muda huu. Mtu kaniachia gari lake kwa kua tu najua kuendesha. Ila sasa nimeendesha mpaka limeishiwa mafuta. Nataka kwenda kuweka mafuta ila sijui ni petrol /aina gani? "sijawahi jaza gari yeyote mafuta " Nisaidieni.... Nikifika kituo cha kujaza niseme nn. Jamaa siwez...
Back
Top Bottom