cleverman
Member
- Aug 2, 2013
- 37
- 31
Helo wana jf habarini za muda huu. Mtu kaniachia gari lake kwa kua tu najua kuendesha. Ila sasa nimeendesha mpaka limeishiwa mafuta. Nataka kwenda kuweka mafuta ila sijui ni petrol /aina gani? "sijawahi jaza gari yeyote mafuta "
Nisaidieni.... Nikifika kituo cha kujaza niseme nn. Jamaa siwez muuliza coz anaweza chukia na sitaki.
Nisaidieni.... Nikifika kituo cha kujaza niseme nn. Jamaa siwez muuliza coz anaweza chukia na sitaki.