Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

Kweli nimeamini watanzania wengi wetu ni malimbukeni. Tunaacha kujadir mambo ya msingi kwa jamii zima, et tunasimama kwa masilah ya mtu mmoja Kweli! Kweli! Kweli!. Hebu tuweni seriouz bwana, huyo muhariri mbona hukuja na hoja hizi before? Leo hii ndo umeligundua hili?. Alafu nani aliye kwambia vyeti ndo vinafanya kazi au kuongoza vizr? Kaka/dada uongozi ni wito, acheni afanye kazi yake. Fikra ndo ukombozi pekee, na maendeleo yako, acha kunyumbishwa, simama. Nawasilisha

Uhakiki wa vyeti haukuanzia kwa RC Makonda,
uhakiki wa vyeti ni kampeni ya serikali hivyo RC kama kiongozi wa serikali mkoani,
anastahili kuwa safi katika hilo.
'' ondoa kwanza boriti kwenye jicho lako...........''
 
Sababu ya Jambo Leo kuingia vitani na RC makonda ,ni Manji kutajwa kwenye biashara ya Dawa za kulevya.Toka RC wa jiji la Dsm amtaje Mfanya biashara Manji kuwa anahusika na Dawa za kulevya gazeti la jambo leo toka siku hiyo limeingia kwenye vita kali na RC Makonda.Gazeti limekuwa linajaribu kwa njia moja au nyingine kumchafua RC Makonda.Toka kutajwa kwa Manji ,kwamba anahusika na Dawa za kulevya ,gazeti hili nalo likaingia vitani kuanza kazi ya kumchafua RC Makonda. Kutokana na uandishi wa gazeti hili ,kila siku kuandika habari za MTU mmoja tu ,ni dhahiri sasa ,gazeti hilo limepoteza maadili ya uandishi wa habari na sasa kujikita kumtetea bosi wao Manji .Ni muda muafaka kwa waziri wa habari ,kuwa makini na uanzishwaji wa haya magazeti kwani mengi yanaanzishwa ili kutetea maslahi ya watu wachache. Ushauri:Watanzania wa mitandaoni tusitumie nguvu kubwa kupotosha ukweli kuwa ,wengi wa wafanya biashara kubwa wanatumia na kuuza dawa za kulevya,na kuanza kupotosha ukweli kwa kuleta habari za uongo kuhusu Makonda.Kama tungekuwa great thinker kweli tungekuwa tunaongelea suala la manji kuhusika na dawa za kulevya ,lakini tunaongelea suala la uzushi kwa RC makonda .Hii maana yake ni kuwa suala la dawa za kulevya linagusa maisha ya wengi humu JF na wengi wanafaidika nazo kwa njia moja au nyingine.Pia ningependa kumshauri mhariri wa gazeti la Jambo Leo,kuwa kumshambulia RC makonda ni sawa na kuipinga serikali kwenye suala la dawa za kulevya. Hii ni kwa sababu RC makonda anaiwakilisha serikali kutimiza wajibu wake.Unapomzushia habar nyingi za uwongo ni eti kwa sababu amemtaja Manji kwenye dawa ,ni sawa na kutetea wauza unga.Naona future yako katika hiyo kazi ,uko mbeleni inapotea kabisa.
Umekatazwa kuanzisha lako?
 
Kwa akiri yangu inavyonituma sina Tatizo na Makonda na namueheshimu sana lakini kwa mtu anavyoongea Makonda bila mpangilio sidhani kama alifaulu kidato cha nne maana kupa C3 si mchezo miaka hiyo
 
Kutokana na uandishi wa gazeti hili ,kila siku kuandika habari za MTU mmoja tu
Hebu tuwekee screenshot ya habari za kila siku from Jambo Leo over the past 5 days ili tujiridhishe kwamba tangu Makonda amtaje Manji basi Jambo Leo limemkomalia kwa kumchafua!!

Yaani nyie watu sijui mmelogwa na nani!! Yaani hadi leo bado kabisa hamuoni jinsi Makonda alivyovuruga zoezi zima!! Hivi humfahamu Agnes Masogange wewe?! Si ndo huyu huyu alipitisha mabegi kwa mabegi utafikiri mabegi ya nguo kumbe ndani kuna materials for drugs! Kutokana na uvurundaji wa Makonda ana tuhuma gani hivi sasa Masogange?! Yaani Masogange ni mtu wa kushindwa kumkuta na ushahidi yule?! Lakini kutokana na ujinga wa huyo mtu wenu, akina Sirro wamekosa ushahidi na matokeo yake wameishia kumpa kesi ya matumizi ya dawa za kulevya!

Lakini mlivyo na mahaba ya kijinga yote hayo wala hamyaoni! Wamekamata mamia kwa mamia lakini majority wanaishia kupata kesi ya matumizi hata kama ni wauzaji kwa sababu ujinga wa mtu wenu umewafanya dealers wafiche ushahidi! Na ule ni ujinga unaoweza kufanywa na mtu aliyefoji vyeti tu manake mtu aliyekaa darasani na akafaulu mitihani hawezi kufanya ujinga kama ule hata siku moja!

Shame on y'all!
 
Mkuu huyu mleta Uzi anafunga uwezo wa kutambua na sasa yuko kimahaba na konda huku akiacha kuchambua data.Mtu huru huchambua vitu kwa Uhuru bila kuegemea upande wowote
Yaani kuna watu wanakera sana! Yaani hadi leo wala hawaoni jinsi jambo lenyewe lilivyovurugwa! Wala hawaoni jinsi kila wanayemkamata wanavyoshindwa kupata ushahidi dhidi yake na kuishia kumpa kesi ya matumizi ya dawa za kulevya kwavile tu stupid approach ya Makonda imefanya watu wafiche ushahidi!
 
Kweli nimeamini watanzania wengi wetu ni malimbukeni. Tunaacha kujadir mambo ya msingi kwa jamii zima, et tunasimama kwa masilah ya mtu mmoja Kweli! Kweli! Kweli!. Hebu tuweni seriouz bwana, huyo muhariri mbona hukuja na hoja hizi before? Leo hii ndo umeligundua hili?. Alafu nani aliye kwambia vyeti ndo vinafanya kazi au kuongoza vizr? Kaka/dada uongozi ni wito, acheni afanye kazi yake. Fikra ndo ukombozi pekee, na maendeleo yako, acha kunyumbishwa, simama. Nawasilisha
Kwa huu mtazamo wako una maanisha zoezi la uhakiki wa vyeti serikalini halikuwa na maana na yalikuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma?
 
tusitokwe sana na mapovu umu jukwaan, maana naona watu wanapiga kelele utafikir wao ndio wameambiwa walete vyeti vile! sheria zipo, na watu wameandika gazetin sasa kama mtu anaona kuna mazingira yeyote ya kuonewa bas aende akalishtaki lile gazet lililo mchafua ili kama watakuwa wanaushahid bas watauweka pale . sasa nashangaa sisi tunapiga kelele mara oooh manji sijui kafanya iki, mara mbowe kafanya kile au daud sijui kafanya iki haisaidii, mtu akiona kaonewa aende mahakaman
 
Hivi watanzania tumemkosea nini Mungu akatunyima akili? hivi tunaona kabisa hii ni vita ya madawa ya kulevya? Nani muuzaji ameshakamatwa zaid ya kesi za kutumia dawa ambazao hata mateja wamejaa mtaa kibao unaeza weka ndani wote.

Unadhan hawa watu wakubwa akina ridhi unaenda kuwapima kama wanajihusiha na biashara ya madawa kwa kupima unadhan kama wanafanya biashara wanakua wanatumia wao?

Tuache maigizo.
 
Sababu ya Jambo Leo kuingia vitani na RC makonda ,ni Manji kutajwa kwenye biashara ya Dawa za kulevya.Toka RC wa jiji la Dsm amtaje Mfanya biashara Manji kuwa anahusika na Dawa za kulevya gazeti la jambo leo toka siku hiyo limeingia kwenye vita kali na RC Makonda.Gazeti limekuwa linajaribu kwa njia moja au nyingine kumchafua RC Makonda.Toka kutajwa kwa Manji ,kwamba anahusika na Dawa za kulevya ,gazeti hili nalo likaingia vitani kuanza kazi ya kumchafua RC Makonda. Kutokana na uandishi wa gazeti hili ,kila siku kuandika habari za MTU mmoja tu ,ni dhahiri sasa ,gazeti hilo limepoteza maadili ya uandishi wa habari na sasa kujikita kumtetea bosi wao Manji .Ni muda muafaka kwa waziri wa habari ,kuwa makini na uanzishwaji wa haya magazeti kwani mengi yanaanzishwa ili kutetea maslahi ya watu wachache. Ushauri:Watanzania wa mitandaoni tusitumie nguvu kubwa kupotosha ukweli kuwa ,wengi wa wafanya biashara kubwa wanatumia na kuuza dawa za kulevya,na kuanza kupotosha ukweli kwa kuleta habari za uongo kuhusu Makonda.Kama tungekuwa great thinker kweli tungekuwa tunaongelea suala la manji kuhusika na dawa za kulevya ,lakini tunaongelea suala la uzushi kwa RC makonda .Hii maana yake ni kuwa suala la dawa za kulevya linagusa maisha ya wengi humu JF na wengi wanafaidika nazo kwa njia moja au nyingine.Pia ningependa kumshauri mhariri wa gazeti la Jambo Leo,kuwa kumshambulia RC makonda ni sawa na kuipinga serikali kwenye suala la dawa za kulevya. Hii ni kwa sababu RC makonda anaiwakilisha serikali kutimiza wajibu wake.Unapomzushia habar nyingi za uwongo ni eti kwa sababu amemtaja Manji kwenye dawa ,ni sawa na kutetea wauza unga.Naona future yako katika hiyo kazi ,uko mbeleni inapotea kabisa.
Habar za kuvumishwa tushazoeshwa kwa sababu baadae unakuta inakua ya Kwel.... So hamna namna nyingine... Wabongo ukiwakosoa huna budi na ww uliekosoa kukosolewa.... Wajanja wamenielewa
 
acha kutia aibu umu jukwaan ww kitukuu! kwa nn ukukosoa zoezi la uhakiki ulipokuwa unafanyika uje kukosoa eti kwa kuwa fulan anshukiwa kutumia vyeti si vyake? inaelekea huna ndugu ww aliyesoma yuko uraian, serikali yenyewe inatambua kuwa mtumishi yeyote anayetuhumiwa kwa kughushi vyet anakuwa kaiibia serikali sababu anakuwa hana sifa ya kuwa mfanya kazi, sasa eti ww unaongea kabisa jukwaan maneno ambayo hayan hata maana" ile ni nafas ya mtu mwenye sifa na elimu ya kukaa pale huenda ingekuwa ni nafas ya ndugu yako ila kaikosa eti kwa sababu ya ujanja ujanja wa mtu fln! tuachen kushabikia ujinga
 
Nashangaa mnaanza kubwabwaja bila sababu,kazi ya gazeti ni nini kama sio kutafuta na kutoa habari?
Makonda wenu si ajibu tu kama wengine wanavyojibu tuhuma kuwa wanasinhiziwa na kwa kuwa vyeti anavyo ambavyo ndio anaulizwa navyo aviweke ushahidi,sioni tatizo la gazeti kwenye hili,ajibu tu hakuna haja ya kutokwa povu kma huna mashaka na elimu yako.
 
Back
Top Bottom