mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Hadi utakapoachana na reference ya TL ndio utaelewa mwanana Labda....Chukulia jumla ya dhahabu waipatayo kwa mwezi wastani A lakini kwenye makapi dhahabu haishi yote kuna vichache vinabakia sema B
A = 95%
B= 5%
Jumla kamili ya dhahabu
A + B = 95% + 5% =100%
yaani hiyo 95% wanaipata mgodini kama dhahabu na 5% inapatikana baada ya kurudia mabaki kwenye hayo makanikia.
Kwa waliowahi kufanya hizo kazi wanasema mfano kwa mwezi wanaweza kusafirisha hiyo inayodhaniwa 95% mara mbili kwa idadi ya kawaida mawe yasiyozidi mfano 30 hata ukitaka 60 Wakati wastani wa jiwe moja ni 12.1kg
Kulingana na Gold bar - Wikipedia
Kwa mwezi mwekezaji anasafirisha makontena 277 wastani. Kila kontena lina kilo nne za dhahabu. Utapata kupitia makontena tu wwnasafirisha tan zaidi ya Tani Moja, huku kupitia mawe kwa mwezi hazita fika hata 500kg.
Ndiomaana wenye migodi wanataka kufunga hadi mgodi mkubwa kwa kuzuia mchanga hali yao ni mbaya kimapato.
Note: basis ya hayo makadilio nimeassume nje ya ugunduzi wa tume ya rais bado Narudia Tena hicho alichokisema yule TL kina mashaka makubwa....