Kama uko Arusha kuna shule naifahamu inaitwa Renea boys( kwa wavulana) na Renea girls( kwa wasichana) hizi shule ziko vizuri sana kijana wangu anasoma hapo! Wanafuatilia na wako makini sana kwenye ufundishaji.
Dr. Slaa uliyoyatenda kwenye siasa ya hii yataendelea kukumbukwa daima! Umeitendea mengi Chadema bila shaka matunda ya kazi yako yanakifanya leo kuwa kimbilio la wengi!
Slaa kuondoka au kukaa kimya ni sawa na kuunyong'onyeza upinzani! Chadema kama kweli hamkuyaweka sawa na huyu mzee mmekwisha!! Binafsi sitaona hata umuhimu wa kwenda kupiga kura kwani nitawaona nyie ndio maadui wa mabadiliko na si Dr Slaa ambaye kwangu yeye ndo ninayemuona km icon ya nabadiliko...
Obama hakuwa na nguvu alizokuwa nazo Clinton ndani democrats wakati anaanza kuutafuta urais, lkn alifanikiwa kumshinda na baadae kuwa rais wa marekani!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.