salum shaksy
Senior Member
- Jul 7, 2015
- 110
- 20
Ni bora niongozwe na mwehu lakn asitoke ccm
nilishaandika humu kwamba Zitto kabwe hawezi kuwa mbunge tena nchi hii hata akienda kugombea kondoa .
Haha..hawa jamaa wamelaaniwa sijui wapi.Wameamua kukimbia mafanikio kwa sababua wanaongzwa na shetani..Km lipumba wametoa sababua za kitoto kweli..yeye kasema kashoka kuchaguliwa marafiki..marafiki wenyewe ni traitors..sijui km hao marafiki wangeweza mfia km yeye aliyeamua wafia.huyu jamaa watoto wa mjini wanasema imekula kwake au kaingia choo cha kike
kuwa mbunge ndio strong enough to sting?Bunge lisilo na aina ya akina makinda na mCCM wengi w akupiga ndiooo ZZK hawezi exist.Hata km atajifanya kuside na upande wenye nguvu au kutaja jijengea km mpinzani wa Chama kipya cha upinzani.Hawezi kwenda zaidi ya hilo bunge n akupotea kabisa km si kuishia ndani kwa ufisadi na mabwana zake wa ccm inayokufa.Tuweke dau! Jamaa anatoboa kigoma mjini,simkubali ila sifikirii kama kaisha kiasi hicho. The boy is strong enough to sting
Alime tu mashamba si yapo, isitoshe mpanda kilimo kinakubali maana hata akirudi chadema atakuwa kapoteza mvuto.
kuwa mbunge ndio strong enough to sting?Bunge lisilo na aina ya akina makinda na mCCM wengi w akupiga ndiooo ZZK hawezi exist.Hata km atajifanya kuside na upande wenye nguvu au kutaja jijengea km mpinzani wa Chama kipya cha upinzani.Hawezi kwenda zaidi ya hilo bunge n akupotea kabisa km si kuishia ndani kwa ufisadi na mabwana zake wa ccm inayokufa.
Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.
Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.
Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?
Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.
Mkuu acha porojo,mada inasema hawezi kushinda ndio maana nikasema tuweke dau,hayo mengine mimi siyajui. Jamaa anashinda Kigoma mjini tuweke dau,tuishie hapo tuu.
Arfi amependa vyote amekosa vyote
hakusoma upepo wa kisiasa nchi tayari mambo yalishaanza kubadilika mapema pale vyama vya upinzani vilipoazimia kuungana niliamini kuna jambo litatokea tu,hata kama ccm waliita ni ndoa ya mkeka matokeo yamekuwa makubwa kuliko walivyodhani itakufa
CCM haipokei oil chafu kama UKAWA
Zitto ni zaidi ya kitu
CCM haipokei oil chafu kama UKAWA
mada ni watu km arfi kujuta...kwa zzk nimetaka ueleze tuu kupata ubunge kwake kutakuwa kumei sting vipi UKAWA?Mkuu acha porojo,mada inasema hawezi kushinda ndio maana nikasema tuweke dau,hayo mengine mimi siyajui. Jamaa anashinda Kigoma mjini tuweke dau,tuishie hapo tuu.
mada ni watu km arfi kujuta...kwa zzk nimetaka ueleze tuu kupata ubunge kwake kutakuwa kumei sting vipi UKAWA?
Zzk ni chizi fulani na anastahili kupigwa chini jimboni!