Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao
Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21?
Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao?
Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia
Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
Viongozi wetu hata sijui ni nani aliyewaloga
Naandika kwa masikitiko makubwa sana , nimemskia mh wazir na mbunge wa Arusha mjini akidai kwamba anataka awajengee wana Arusha msikiti wenye thamani na dola milioni 100 ambazo ni sawa na tsh zaid ya bilion 21
Sasa swali langu kwa mh wazir nchi...
habar ya kwenu wakazi wa jjiji la miamba
leo hii sina mambo mengi ya kuzungumza na nyinyi ispokuwa naomba kama kuna mtu yeyote hapa Mwanza anayejia chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar tafadhal naomba anijuze
asanten nawasilisha
sijaona chochote cha maana kwa katuga
watu wamehudhulia mahakaman kuskiliza kesi ya msingi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu
lakini cha kuskitisha wakili wa serikali baada ya kuuliza maswali kuhusiana na ile kesi ambayo ni UHAINI
Ana base kuuliza maisha binafs ya mtu halaf bado tu...
kwani mataifa yote ambayo viongozi wao hupelekwa icc hiwa yanapangiwa cha kufanya
mkubwa ni mkubwa tu , atake asitake wakiamua waje wambebe watambeba tu
songea mtasubiri sana
huo mji kuendelea labda mpaka CCM tutoke madarakan
sasa hv tumeelekeza nguvu Dodoma - Dat
nyie takataka nyingine mkae kwa kutulia kwanza
swali gani hilo unalouliza?
umeshaambiwa ni jiji la pili tanzania kwa idadi ya watu
bado tena unauliza hv Mwanza napo kuna watu
sasa kwa uelewa wako ukitoa jiji la Dar kuna jiji gan lenye watu wengi kulizid Mwanza?
sasa ameshakuwa mkwel kakwambia hakutaki unacholazimisha nini?
tena ushukuru sana mungu kakwambie
mwingine anakuwekea sumu tu una rest
kwahiyo haina haja ya kukomaa nae usije ukapoteza maisha bule
kipi muhimu sasa hapo?
kutoa pole mtandaoni au kwenda live kutoa pole kwenye familia?
ungekuwa ndugu wa karibu na heche au ndugu wa karibu wa familia ungejua nini kinaendelea kuhusiana na hio msiba
inshort chadema ndio wameubeba huo msiba na mazishi yatafanyika siku ya jumapili uko mkoa wa Mara
kiongozi maranyingi kazi yeyote ile ngumu huwaga haina maslah kama unavyofikiria wewe
mfano: kubeba zege, kusukuma mkokoteni, kupasua mawe nk
kazi zenye maslahi ni kazi za kitaalam tu
sasa kama una utaalam vi vyema ukasema huenda ukampata mtu umu jf akavutiwa na utaalam wako akakupatia kazi...
changamoto kibwa mkuu ni watawala
ni kheli kungekuwa na serikali za majimbo huenda kila kanda , halmashaur au mikoa ingenufaika na rasrimali zake kuliko huu mfumo uliopo sasa
kwasasa mapato ya nchi nzima yanatumika kuijenga dar na dodoma na ndio maana watu wanaona kwamba dar ndio kila kitu
kwahiyo unataka kutuaminisha fursa za kiuchumi zipo katoro na kahama tu?
ujue unapochambua jaribu kuelezea fursa za kiuchumi kwanza zilizopo mahali hapo theni ndio utoe ushaur
kwanini katoro na kahama tu?
mbona hujaitaja mwanza? unataka kuniambia katoro na kahama zinaizid mwanza?
katoro na...
bila shaka uyu atakuwa yule aliyewahi kuwa msanii wa bongo fleva toka east coast team.....aliyeimba mimi na mabinti dam dam
kwasasa yuko wizara moja na BASHITE
huyu mtoto wa Tanga ni mpuuzi sana , katuonyesha Carparking shade yake kapaki gari za kifahar tupu
mbaya zaid ile carparking shade...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.