Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 237
- 452
Mwambia akupe siku 3 then fanya maombi ya vita , kama bado atasema ana hitaji talakaWakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena.
Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu.
Tumejenga nyumba moja na biashara ya dumwamb
Mpatie