Hapa bd nashindwa kupata uhakika et wanadai darasa la saba kuanzia mika 16-18,halaf form 4 kuanzia 18-20,wakt mm najua kuna sheri inayodai kuwa umri wa kijan unaanza miak 18 na kuendelea sasa huko chin ya miak 18 si mtoto??
Yah ni kweli ila kwa dunia ya sasa inathamin sana pesa kila mwanamke utakaekutana nae atasema mapenz pesa na ni wachache sana watakuwa wanapenda kweli kuliko pesa na ukifanikiwa kumpata km huy shukuru Mungu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.