utaishia kupigwa mizinga mpaka ukome,Mimi nina miaka 18. Ni mtanzania lakini siishi nchini. Niko nje kimasomo. Naongea English fluently na Kiswahili pia. Nataka tuchat WhatsApp ni inbox number.
I am an 18 year old Tanzanian boy studying abroad looking for someone to chat with on WhatsApp. I'm fluent in both English and swahili. I just want to chat on WhatsApp. Inbox me your numberHiyo post iweke kwenye hiyo fluent English kwanza halafu mjadala uendelee
Heheheh nakuja
Hiyo post iweke kwenye hiyo fluent English kwanza halafu mjadala uendelee
Kwasababu namba kitu cha siri. Humpi kila mtu.Kwanini tukuinbox badala ya wewe uweke namba apa
UKnje wapi?
Watu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
Yea si unaona ni totoz mbichii kabisaUko fasta kuchangamkia fursa wewe....
AhahahahahahhWatu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
Ndo kwaanza wanamuuliza nje sehemu gani,
Mimi pia nilitegemea kukuta kashfa kibao hapa
Kweli nje ni nje tuu