Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Msimkatishe tamaaa jaman
Hatumkatishi tamaa mkuu...
Humu tunasaidiana sana kwa kuambiana ukweli. Na hivi inawezekana aje mwanamke yupo na mwanaume wake na wanaishi pamoja, alafu anakuja kusema eti anatafuta mpenzi[emoji2] [emoji2]
Hapa sana naona anajitengemezea mazingira ya kukanyagwa na kuachwa tu aiseeee.....
Hakuna mwanaume anae weza akampenda kwa dhati mwanamke ambae yupo na mwanaume mwingine. Zaidi atachezewa tu, na kisha atakuja kuanzisha uzi mwingine wa malalamiko.
 
Hapana cwez hitaji mwingne ,na ndo mana nimekuja hapa jf lait kama ningetaka wengne weng wala nicngekuja humu mbona kitaa weng 2
Kwani humu jf kuna tofauti gani na kitaa[emoji15] [emoji15]
Mbona sisi ni wale wale tu[emoji45] [emoji45]
 
Hatumkatishi tamaa mkuu...
Humu tunasaidiana sana kwa kuambiana ukweli. Na hivi inawezekana aje mwanamke yupo na mwanaume wake na wanaishi pamoja, alafu anakuja kusema eti anatafuta mpenzi[emoji2] [emoji2]
Hapa sana naona anajitengemezea mazingira ya kukanyagwa na kuachwa tu aiseeee.....
Hakuna mwanaume anae weza akampenda kwa dhati mwanamke ambae yupo na mwanaume mwingine. Zaidi atachezewa tu, na kisha atakuja kuanzisha uzi mwingine wa malalamiko.
Mbona wanaume wameoa lakn wanatongoza na kusema hawajaoa,mnanishangaa mm nn?
 
Mbona wanaume wameoa lakn wanatongoza na kusema hawajaoa,mnanishangaa mm nn?
Ukiona mwanaume anakuambia kwamba hajaoa ilhali ana mke, kisha anakutaka. Basi ujue huyo anataka akutawanye miguu kisha anakunawa.
Mwanaume wa hivyo anampenda mkewe kuliko wewe, hivyo anakua ana shida ya kuku tumia kama toilet paper.
 
Single moms hao halafu watasema ooh wanaume hamutujali hapo unatafuta mchepuko siku baba mtoto akikilainisha kwa maneno matamu utarudi kwake
 
Back
Top Bottom