Kitu gani kimewahi kukupa maumivu makali

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
Aisee kuna siku kichwa kilinigonga hayo maumivu yake sio ya mchezo, Yani nlikiwa nahisi pfunk anapiga nyundo kichwani .....

Tupe experience yako kuhusu maumivu uliyoyapata, chanzo na hali ilivyokuwa...
 
Back
Top Bottom