Recent content by Ckattovic

  1. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania Zipo penseli ngapi hapa??

    Ziko 60
  2. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwanz Me nimefurahi sana kusikia huo utabiri wake kwa maana siku zote huwa tunamprove wrong kwa kile alichokitabili juu yetu huyu MO, hata Msimu uliopita alitutabiria kuwa hatutafanikiwa kupita katika Group Stage za CL but tukamwonesha kuwa tunaweza kuliko anavyofikia yeye. Ngoja nione mwisho...
  3. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Neymar anaomba mwenye contact za Juan Zunuga ampatie, ili aweze kumshukuru kwa kumwepushia hii dhahama[ aibu ] ya Karne kwa Ulimwengu wa Soka.
  4. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Japani wanapigwa 4-0. Usibishe.
  5. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Naomba Mungu asituangushe manake team pinzani inajiandaa kumkabili kuhakikisha hafanyi mambo Wala sina wasi wasi nao hao Team Mpinzani, kwanz huyo Team yake mambo yao yanaishia hatua ya makundi. amini usiamini!
  6. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Ndo hivyo Mkuu. Na nangoja kwa hamu kumuangalia Kijana Wang!!! Basiii...
  7. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Me sitaki Mapressure kama ya leo. Team langu ni lile analochezea yule Kijana Mfupi Mfupi hivi. Argentina!!!!! Basiii.... Na Mwaka huu wake. Sitaki unionee huruma.
  8. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania 2014 NBA Finals...updates

    GAME 3 Miami Heat 92 San A. Spurs 111. M. Heat S.A. Spurs 1 quarter; 25 - 41 2 quarter; 25 - 30 3 quarter; 25 - 15 4 quarter; 17 - 25
  9. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Edo Kumwembe vs Shaffi Dauda

    Sijui nimchague yupi ni Mkali zaidi ya mwenzake. Edo sikosagi Makala zake hata siku moja. Dauda naye ivyo ivyo sikubaliki kukosa kipindi chake hata kwa dakika moja.
  10. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naoomba Mungu na Msimu Ujao utujalie tupate ubingwa tena, Hasa wa EPL kwanza. Halafu ndo tufunge midomo ya Wasema ovyo, na wapenda kuvaa T-Shirt ya CR, Msimu mzima utafikiri hawaonagi/ hawanaga nguo zingine.
  11. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

    Sina Imani kabisa na kikosi cha BRAZIL, hasa katika Idara ya Ushambuliaji.
  12. Ckattovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 666-nyayo za kuzimü

    Naona kiwango cha kutisha na kusisimua, kimeanza kupungua katika Hadithi hii. Ule ukaribu wa kuifatilia naona pia utapungua pia.
  13. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Ckattovic@gmail.com Naomba na Mimi unitumie.
  14. Ckattovic

    JamiiForums Tanzania Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Katiba tayari CCM wanayo, naona sasa hivi wanafikiria juu ya caver waweke picha ipi kati ya ile inayowaonesha wakitolosha Tembo wetu au Wakificha Mabillion yetu kule Ughaibuni. Mimi hata kura ya kukubali au kukataa sipigi tena. Haina faida yoyote, kwasababu watatuambia pia kuwa waliopiga kura...
  15. Ckattovic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mwenye avatar nzuri yenye mvuto inayoweza kukubalika kwa mtazamaji?

    Nafikiri Avatar yangu ndo nzuri kwasababu hakuna Binadamu yeyote anayependa Kuzeeka, ivyo Usinizeeshe ni Sikuzeeshe.
Back
Top Bottom