qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,386
Kwasababu karibia wachezaji wote wa timu ya taifa wanacheza nje ya kwao, means wote ni wakali.
Kwa nini unajitafutia matatizo mkuu,
unajitafutia maumivu ya moyo
uandae na panadol za kumeza kwa timu hiyo....
Wachezaji wa uingereza huwa hawachezi nje ya England kwa sababu ya gharama kubwa za kuwanunua na kuwalipa mishahara ,ndio maana wanabaki England.Ni wachache tu waliocheza nje kama Gary Linekar,McManaman,Beckaham na majuzi Gareth Bale.
Bado sio kigezo kaka, mimi natabiri Spain na Germany watacheza fainal....
with due respect @agost 8 i dont see any team challenging the mighty Gerrmany 2014, My starting XI for Germany is: Neuer; Lahm, Boateng, Hummels, Schmelzer; Schweinsteiger, Kroos; Reus, Ozil, Muller; Podolski. False 9 would rightfully allow Klose to not start for the most star-studded team in the world and allow the talent of the midfield to shine. Also, Podolski's impressive finishing and pace would be important to take full advantage of Ozil and co. Do u think there is any team to stop this Squad? look at the squad depth on the bench
Bado sio kigezo kaka, mimi natabiri Spain na Germany watacheza fainal....
kwa hali hii lazma Morinho awe shabiki tu wa BRAZIL
Bado sio kigezo kaka, mimi natabiri Spain na Germany watacheza fainal....
mkubwa Kashaga, simba hata akiloa hawi sawa na mbwa:
miaka yote Brazil imekuwa inaundwa na wachezaji wanaocheza Ulaya.
Wanajua kwamba ili washindane na Dunia; lazima watumie wachezaji wanaocheza nje ya nyumbani kwao.
Kuhusu Spain kuchukua ubingwa; KUMBUKENI kilichowapata walipochwapwa 3-0 kwenye kombe la mabara mwaka jana!
Kombe la Dunia - 2002,
Rivaldo, Ronaldo, Emerson, Carlos, Ronaldinho..wote hao walikuwa wanacheza ULAYA wakati huo.
Enzi za kuchukua wacheza wa ligi ya nyumbani ilikuwa miaka ya kina PELE ..
don't joke with Brazilians, 5x winners of the World Cup.:smile: