Recent content by city center

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya security guard Dubai

    Ulikuwa kampuni gani before!?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Fursa ndani ya Babati - Manyara

    Nasikia huko kuna kilimo cha maharage ya ngwara. naomba ufafanuzi zaidi maana haya maharage ni big deal huko kenya
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kilimo cha ngwara

    nimesikia eti gunia la debe 6, linaenda mpka laki 5
  4. C

    JamiiForums Tanzania Maisha mengi ya hapa Duniani ni ya kutegemeana

    rekebisha bandiko lako mkuu. wewe ni mtia wetu kivipi? kwamba sisi hatuwezi kufanya hicho ulichoita kutia?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa maswali ya Interview TASAC Utumishi weekend hii

    Soma soma hizo material mkuu tunaweza tukatoka! Nafasi 50 za TASAC, clearing and forwading grade 1 tumeitwa watu 1700.. nafasi 4 za motor vehicle licensing tumeitwa watu 800.. soma ba research pia kama mdau alivyosema hapo juu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, mahali panapoitwa Ngende ni pakusadikika?

    hatari sana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

    Ngende kila mwaka unapeleka zawadi ya chungwa moja kwa mtaalamu. Unatoka kigoma na Cruiser mpaka liwale sharti safi sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

    Safarini Lindi/Mtwara naona ngende iliwahi kugusiwa toka zamani. Hii ishu ni ya kufanyia utafiti. Huo uzi umeelezea kila kitu kuanzia usafiri, malazi n.k kila la kheri whyme na wengineo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Safarini Lindi/Mtwara

    kumbe ni kweli eenh!! Ya kale Dhahabu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

    pm imefungwa mkuu sandali
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

    hahaha!! tohikile bhatato weto!! Tughende ghasi tokubhi?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mliosoma/mnaosoma clearing and forwading.

    nahitaji za Degree mkuu mwaka wa kwanza
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mliosoma/mnaosoma clearing and forwading.

    mkuu nahitaji za First Degree
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mliosoma/mnaosoma clearing and forwading.

    Hello jf. nina imani humu kuna wadau wanasoma au waliwahi kusoma clearing and forwading. naomba msaada wa notes nina shida nazo hasa za First year. Natanguliza shukran
Back
Top Bottom