Suala la usafiri wa Mtwara mkuu lilishajadiliwa humu jf,labda kama unaenda kuangalia uwezekano wa kutoka kwa gesi,maana hata hapo unapotokea nna mashaka umetumwa..NENDA KAMANDA,ITATOKA TU.!
Mkuu tafuta hiyo thread humu ipo tena haina hata mwezi mzima tangu ibandikwe. Na ina mengi kuhusu mtwara mpaka majina ya mabasi na kiwango cha nauli tena hizi mpya.
Karibu Mtwara Mkuu! Huku mgeni salamu ni.... Itatoka? Tafadhali jibu "haitoki" vinginevyo balaa litakupata. Kwa kifupi jaribu kujiepusha na mijadala ya kuhusu gesi hasa ukiwa mgeni hata kama msimamo wako ni kama wa kwao. Mpaka watakapokuwa na imani kuwa wewe si mamluki.
Nimejaribu kuangalia mkuu, lakini cjaipata,,,,,,,,,
Kwa basi tafuta machinga,ni mapema uko mjini,kuhusu hicho kipande ambacho hakijengwa usiwe na wasiwasi hapasumbui.
Karibu ila HAITOKI
Karibu kusini.. Ila HAITOKI
Naona wote mlioko mtwara mnamkaribisha halafu mnamalizia na haitoki, ni nini ambayo haitoki, nahitaji kujua
Nini hii isiyotoka
Haitoki !!!! kitu gani? Mnatutisha tusije kwenu.
na mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo asante kwa kuuliza
Mkuu umewasahau NAJMA (semi luxury) na WIFI NAE(ordinary)! Ama hawaendi tena kusini?
ramAhsante kwa kunielewesha, kumbe ni gesi
kwenda na bus ni aghari kuliko ndege!!usijifanye huzijui safari za kikazi zinalipwaje!unadhani ofc zote zinatoa nauli ya ndege siyo!!!Safari ni ya kikazi je kwanini usipande Ndege? Nafikiri kwenda na gari binafsi au Bus ni aghali zaidi na risk ni nyingi mkuu
Machinga Tsh 27,000/-
Buti La Zungu Tsh 22,000/-
Seth Star Tsh 22,000/-
Maning Nice Tsh 22,000/-
Hamanju Tsh 22,000/-
Ng'itu Tsh 22,000/-
Noraiz Tsh 18,000/-
Shillingi Tsh 18,000/-
Southern Exp Tsh 18,000/-
Osaka Tsh 18,000/-
Nimejaribu kuangalia mkuu, lakini cjaipata,,,,,,,,,
Suala la usafiri wa Mtwara mkuu lilishajadiliwa humu jf,labda kama unaenda kuangalia uwezekano wa kutoka kwa gesi,maana hata hapo unapotokea nna mashaka umetumwa..NENDA KAMANDA,ITATOKA TU.!
haitoki!
Chacha nawe chamaki nchanga unabicha; itatoka tu
itatoka!!
TZ yetu:
kaitoe aisee,ilete hadi dom pale ili watz wengne wanufaike nayo.
kumbe ni kweli eenh!!Nimesikia kidogo stori za ngende, ni kule watu huenda kutafuta utajiri na kupimiwa kwa punje za mahindi ?
Mbona hiyo gesi ilishatoka zamani?!Kwa basi tafuta machinga,ni mapema uko mjini,kuhusu hicho kipande ambacho hakijengwa usiwe na wasiwasi hapasumbui.
Karibu ila HAITOKI
P0le kijana.Mbona hiyo gesi ilishatoka zamani?!