Maisha mengi ya hapa Duniani ni ya kutegemeana

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Wajumbe mambo vipi? Naomba mtia wenu msinikate katika kula za maoni nikaambulia kura yangu mimi peke angu🤦😂

Duniani Maisha mengi haya tunayoishi huwa tunategemeana kwa vitu flani na ndo tunayaishi hayo hayo Maisha, Mimi namtegemea Mwenyezi MUNGU anipe kila siku anipe Afya njema ,uvumilivu,bidii, juhudi katika chochote kile kitakachotokea mbele yangu au yetu.

Tukija kwenye maisha haya ya kawaida kwa binadamu twende kwa mfano mwizi anaomba kila siku Watu wenye uchumi wa kati au matajiri wapate ili aje awaibie lakini anakuombea kwa neema tu, Tukija kwa fundi majeneza mama yangu 🤦 nipite pembeni tu

Wapo wengi tu kuna Madakitari nao sisi tunawategemea nao pia hivyo hivyo, n.k kila mtu ana umuhimu wake kwenye chochote anachokifanya.

Sijui ata nimeongea nini naona nimesahau aaaah mchana mwema🤪🤦🏃
 
rekebisha bandiko lako mkuu.

wewe ni mtia wetu kivipi?

kwamba sisi hatuwezi kufanya hicho ulichoita kutia?
 
Back
Top Bottom