Natafuta kazi ya security guard Dubai

Nzumbie

Member
Mar 19, 2018
76
85
Wadau kama unamjua agent yeyote anaweza kufanikisha wazo langu,naomba tuwasiliane pm.

Na elimu ya Diploma na uzoefu wa miaka 9 katika ulinzi (security guard) lugha ya Kiingereza naweza.

Nilitegemea nitapata kazi hapa nchini baada ya kujisomesha huku nalinda sasa mambo ni tete sana.

Naomba msaada mie
 
Kama kuna sehemu nyingine unaweza kuniunganisha nayo ipo na maslahi niunge tu. Nitaenda kufanya kazi
hebu angalia hiyo attachment uwatafute hao jamaa instagram wanaweza kukusaidia
Screenshot_20200806-131620.jpg
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom