Recent content by Circuit Breaker

  1. Circuit Breaker

    Kama aliyesoma diploma ana G.P.A chini ya 3.0 anafanyaje kuingia degree?

    Nenda open university of Tanzania (OUT) kafanye foundation course, Utawaambia course yako unayotaka kuifanya degree. Utapewa masomo ambayo inabidi uyasome, ukifaulu test na mitihani, unakua ume qualify kusoma Degree unayoitaka.
  2. Circuit Breaker

    Time to start a new journey?!!

    Mkielewa mtatujuza, alichotaka kukisema Mwanajamii mwenzetu
  3. Circuit Breaker

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Naomba kujua bei za hizi simu, nataka moja kati yake iphone 11 storage 256GB, iphone 11 prox 120GB, Iphone 11 pro max 120 GB, Ulizia kwa uyo mtu wako wa china
  4. Circuit Breaker

    Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Tatizo mnasema kun biashara unaweza fanya ukapata faida zaidi ya iyo. Na biashara yenyewe amsemi ni ipi.
  5. Circuit Breaker

    Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe

    English Medium ni Muhimu kwa wanangu, naplay part yangu na wao wakikua wataplay part yao, wasipo play it's all fine
  6. Circuit Breaker

    Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Saa 1 kamili paka saa 5 usiku, amna OFF Days, vipi kuhusu chalukula Boss, pia atakula kwa huo muda atakaokua kazini au atajitegemea?
  7. Circuit Breaker

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Kigamboni karibu na Bahari, kuna kitu kinaitwa fukuto, ikifika saa 2 usiku kuendelea joto ni kali hatari yani ni mateso mateso mateso
  8. Circuit Breaker

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Miguu 20 kwa 19? Hiki kipimo mbona kipya
  9. Circuit Breaker

    Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasoma comment nikiwa nakula bia ya tatu Naenjoy sana. Mtoa mada nadhani atakua ameelewa sasa.
  10. Circuit Breaker

    Muige panya katika harakati za utafutaji, utatoboa

    Sure mkuu, unapambana kwa akili
  11. Circuit Breaker

    Derby ya Pepsi na Coca Konde-Boy Okoa Coca

    Usichokijua coca ya dar si coca ya Mengi, coca ya Mengi ipo Moshi, Arusha n Tanga kama sikosei
Back
Top Bottom