Recent content by Chura wa kihansi

  1. Chura wa kihansi

    Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

    Wewe jamaa ni mpumbavu sana....hivi unapata faida gani kutete ujinga.....mm ni mkazi wa mwanza wa muda mrefu...na uzuri majiji ya dsm na dom nimetembea....nasema hivi mwanza bado tunasafari ndefu sana....watu wawajibike waache kutafuna hela
  2. Chura wa kihansi

    Hayati Magufuli alitelekeza SGR ya Tanga-Arusha-Musona ili kupendelea Mwanza na Chato

    Unajua nilikuwa nawaza kwa nguvu sana hadi nikasema au mm ndo siijui jiografia ya nchi yangu....sasa reli ya trilioni za shilingi ikaishie bandari ya musoma ili iweje...hii reli imelenga kuzilisha nchi za rwanda,burundi na drc.,na nchi hizi zitachangia kiwango fulani cha pesa kwa kipande...
  3. Chura wa kihansi

    Kwa nilichokishuhudia kwa macho yangu hakika ufuska na biashara ya ngono haitokwisha, ndio kwanza inazidi kukua

    Watz ss nu wanafiki sana...na mtoa mada amenidhihirisha hilo leo...kwanza ameanza kwa kuto disclose a publiv info ...eti meya flani wa mkoa wa dar...hiyo habari ipo you tube na links za vyombo vyote vya habari ikiwemo tbc..why hide the identity..thats is total clap...the rest you can add
  4. Chura wa kihansi

    DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

    Brother, sio kila samaki unayemkuta pale kamanga,mbugani au mwalo wa mswahili ni fresh..hawa wachuuzi wa samaki wamebuni mbinu nyingi za kuwafanya samaki kuwa fresh muda wote na hiyo mbinu huweza pia kutumiika....je wajua kwenye masoko ya mwanza wapo samaki (sato/sangara) wa kufugwa...tena wengi...
  5. Chura wa kihansi

    Waislam Milioni 10 Kila Mwaka hubadili Dini na Kuwa Wakristo

    Wewe lazima utakuwa mzanzibar...maana neno tafrani halitumiki sana na watanganyika kama huko kwa wapemba🤣🤣🤣
  6. Chura wa kihansi

    Mkoa wa Mwanza na changamoto zake: Usafiri jijini ni kikwazo kikubwa

    Acha uwongo mkuu, kirumba sawa ni eneo la bonde lakini buhongwa nakataa hadi kesho...Mwanza ni mji ambao mvua inyeshe usiku mzima hutaona tope labda barabara kuchanika
  7. Chura wa kihansi

    Polisi wawajibike ajali ya daladala Temeke

    Habari mkuu. Mimi napingana na wewe kwenye kipengele kimoja tu,nacho ni cha abiria kusumama ndani ya daladala...hii sio sababu ya ajali ingawa ajali inapotokea madhara huwa ni makubwa...lakini hata katika nchi za ulimwengu wa kwanza ikiwemo japan yanapotengenezwa kwa wingi abiria husimama kwenye...
  8. Chura wa kihansi

    1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

    Misri hata akifanikiwa kufanya airborne preemptive strike akaharibu walau 60-70%ya ukuta wa bwawa (najua ethiopia siyo wajinga watakua na anti-aircraft missiles hapo za kutosha kulinda hiyo project kwa kuwa wamezika hela nyingi hapo)Ethiopia inaweza kujibu vyote kijesho kwa kushambulia Aswan dam...
  9. Chura wa kihansi

    NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake

    Inawezekana hata bima ya afya ya taifa nhif huna masikini,huo ndo ukweli supplementary medicines kama synthetic vitamins mfano Nat B ,neurosupport zimeondolewa,unajua umuhimu wa hizi dawa kwenye neuro-pathology ngoja ufike kwenye 50s utaona umuhimu wake.....acha kuona kila kitu ni siasa,wagonjwa...
  10. Chura wa kihansi

    Jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme nyumbani kwako

    Sony home theatre yenye inbuilt FM radio ina watts 1000 na zipo za zaidi ya hapo
  11. Chura wa kihansi

    Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

    Kiujumla mwanza hakuna slums na pia ni maenei machache sana yana asiliwa na mafuriko hasa yaliyo kwenye njia za maji na mabondeni Mwanza sehemu nyingi ni middle class exclusive au mix ya middle na upper lower class Uswazi hasa ni mabatini,mkuyuni,igogo,sahara,bugarika,butimba na kirumba
  12. Chura wa kihansi

    Tujikumbushe kwanini Bunge la Marekani lilikataa uwepo wa television ya taifa

    Ungekuwa unakunywa ARVs ungeisifu na kuitukuza marekani kwani siku wasipoleta pesa ndugu na rafiki zako wote wanaoishi kea matumaini utawapoteza na huo ni mfano mdogo tu wa namna hili shetani linavyotetea maisha ya hawa wagonjwa maskini mungu ibariki tanzania,mungu ibariki amerika
  13. Chura wa kihansi

    Kafara la Mtumishi wa Umma, Ndugu Daniel Maleki, Je Qur’an Aliitoa Wapi?

    Usituchoshe huna unachojua kuhusu uislamu una dandia dandia tu hueleweki .uislamu umeusoma wapi ?? Hadi uje kujifanya ww unajua sana alaf eti sisi tukaulize masheikh ebu chukua time Hili ni jibu la kikanjanja kabisa na linaakisi ukosefu wa hoja kichwani
Back
Top Bottom