Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Ni mbinu tu ya serikali ya ccm kufanya mind game kwa wapiga kura hili ionekane kuna kitu wameifanyia mwanza na mama apewe promo za kampeni, wakijua fika kujenga barabara ni mtihani ambao hawako tiyari kuufanya ni bora wapake chongo wanja.
Upo sahihi kabisaa, kwanini Mwanza tunaangushwa na serikali kwenye barabara, hata singida ina barabara bora kuliko hii kenyatta road.
 
Unashangaa Hilo, njoo dare salaam Watu wanaruhusiwa kujenga magorofa Huku barabara za kuhudumia maeneo hayo Magari hayawezi pishana, lami nyingine za michongo zinawekwa hadi milangoni mwa watu bila kujua uhatarishi WA hizi familia!! Huwa najiuliza wizara zinazohusika hadi najipa Majibu hakuna wanalolijua Kwa kizazi Cha Kesho!! Njoo barabara kama maji chumvi kisukuru, Magari hayawezi pishana, bila aibu wanaweka lami, huu ni upotevu WA pesa za Kodi
Pesa za serikali zinapotelea hapo kwenye jiji lenu, mnawekewa lami mpaka milangoni na bado mnalalamika.
 
Pesa za serikali zinapotelea hapo kwenye jiji lenu, mnawekewa lami mpaka milangoni na bado mnalalamika.
Barabara inatakiwa kuwe na road reserves na sehemu za kuchimba drainages vyote hakuna unategemea Kuna barabara yenye ubora!?
 
Mwanza Kwenye Barabara Imesahaulika Hadi Inatia Huruma, mfano ukiwa unatoka Shinyanga ukifika mpakani mwa Shinyanga na Mwanza baaaasi hadi rangi ya barabara inabadilika

Mwanza ina barabara mbovu pengine kuliko majiji yote Tanzania.

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Wewe acha uongo ! Kwa hiyo hata Kwimba ni Jijini Mwanza ?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa umejaa chuki musoma inamtandao mkubwa wa rami kuzidi mwanza

Musoma ipi hii ya machinjion,nyasho,kariakoo,nyakato airport hadi kule tembo[emoji1787]

Hivi mwanza unaijua au ulikuja kwa shemeji yako siku mbili tatu

Unaujua umbali wa kutoka kanyama-buhongwa
Buhongwa-airport
Nyegezi-luchelele
Mjin-igelegele
Mjin-nyashana
Mjini-bugando
Mjini-mji mwema
Mji mwema-kiloleni
Mjini-buswelu
Mjini-kahama
Mjini-ibanda
Mjini-nyasaka
Mjini-nyasaka ppf
Mjini-nyamadoke
Sabasaba-buswelu
Iloganzara-bwiru
Mjini-bwiru
Kona ya bwiru-kitangiri
Kitangiri-ibanda
Ibanda-mihama
Jiwe kuu-bwiru
Sabasaba-Ilemela-tunza-malaika hadi kona ya igombe

Buzuruga-mwananchi
Buzuruga-shule-nyasaka-maduka tisa-kiloleni-bigbite-kilimahewa hadi kona ya bwiru

Nyakato-Bismarck
Nyakato sokoni-mecco hadi Buzuruga shule
Nyegezi-majengo mapya
Mission-magomeni-kitangiri


Hapa nimekujibu kiufundi zaidi, ulivyoiweka musoma juu ya mwanza nimekuona wewe ni wakuja[emoji1]

Nimetaka kusahau hapo voil kuna njia ya kuzunguka inaanzia pale pepsi-igogo-mchafu kuoga hadi voil bila kusahu mkuyuni hadi butimba

Kama huu Mtandao wa barabara ya lami ni mdogo kwa musoma[emoji1787][emoji1787] na hayo majiji makubwa ya Tanzania yaani tanga,arusha,mbeya na dodoma basi utakua na chuki sio bure


Ukikohoa narudia
Mkuu msameh alikuwa anapita mwanza akielekea shy
 
Mwanza ni kijiji kilicho changamka!

Wajinga watakuja na matusi baada ya kusema hayo.
Sawa tu hata watawala wote ngazi ya uraisi wote wamezaliwa kijijini. Mwanza hii mtajinyonga kwa wivu. Mtu kama wewe kwenu Longido halafu unaiponda Mwanza! Si bora ujinyonge tu ufe
 
Sawa tu hata watawala wote ngazi ya uraisi wote wamezaliwa kijijini. Mwanza hii mtajinyonga kwa wivu. Mtu kama wewe kwenu Longido halafu unaiponda Mwanza! Si bora ujinyonge tu ufe
Mjinga wa 1 huyu!
 
Kuna mkuyuni Butimba ni lami, Nyegezi corner Malimbe lami, nyegezi stand majengo mapya lami. Sasa atuambie ni barabara zipi za mitaani hazina lami
Wewe jamaa ni mpumbavu sana....hivi unapata faida gani kutete ujinga.....mm ni mkazi wa mwanza wa muda mrefu...na uzuri majiji ya dsm na dom nimetembea....nasema hivi mwanza bado tunasafari ndefu sana....watu wawajibike waache kutafuna hela
 
Back
Top Bottom