ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,346
- 8,565
Mkuu nimeona sehemu umesema hauna usafiri Basi kaishi Bwiru karibu na Barabara ya kwenda Town , kinyuma na hapo utaishia kuishi kwenye maeneo yenye vibaka ...mkuu, nipatie sifa unazozipenda katika eneo hilo..na vp patanifaa kutokana na sifa nilizo ziolodhesha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta nyumba Mwananchi, Nyakato Mecco, Nyegezi kuanzia Nyegezi Kona rudi kama unaenda Buhongwa ila usifike Buhongwa.Usijal unapata majibu mkuu
6. Una usafiri binafsi? NO..Itanilazimu kupa dala dala
7. Una familia? NO
8. Una watoto/jamaa wanaotakiwa kwenda shule kila siku? NO
9. Shughuli zako zinakulazimu kwenda mjini kila siku? YES
10. Kipato chako (Capri Point na Isamilo ni kwa wazito) mi ni UPPER-MIDDLE CLASS
11. Unataka kununua nyumba au kupanga? KUPANGA
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sana mkuu kwa dira yako, vp lakin mwananchi na nyasaka, panaendana na sifa zanguMkuu nimeona sehemu umesema hauna usafiri Basi kaishi Bwiru karibu na Barabara ya kwenda Town , kinyuma na hapo utaishia kuishi kwenye maeneo yenye vibaka ...
ISAMILO na Bwiru Yana sifa zote unazohitaji ... Hayo maeneo mengine utaniletea mrejesho hapa ... Watu wameraja Nyegezi ni mbali Sana na town kwa shughuli zako
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante bro...naomba unisaidie tofauti kati ya kona ya bwiru na bwiru.Ta
Tafuta nyumba Mwananchi, Nyakato Mecco, Nyegezi kuanzia Nyegezi Kona rudi kama unaenda Buhongwa ila usifike Buhongwa.
Epuka;
Butimba, Igogo, Mkuyuni, Kona ya Bwiru, Ghana, Nyamanoro, Kirumba na maeneo ya jirani.
Kama mfuko unaruhusu nenda Bwiru pia.
Kona ya bwiru ni mbele kidogo ya Ghana kama unaenda Nyamanoro/Pasiansi/Aiport kuna bar maarufu ya Diamond na Hotel ya Tai Five kwa chini kidogo. Hapo ndio kona ya Bwiru.ahsante bro...naomba unisaidie tofauti kati ya kona ya bwiru na bwiru.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa mkuu nashukuru kwa muongozo wako...Mungu akutangulie mkuu..umeipatia mwangaza wa kujua haya maeneo vizuri..Kona ya bwiru ni mbele kidogo ya Ghana kama unaenda Nyamanoro/Pasiansi/Aiport kuna bar maarufu ya Diamond na Hotel ya Tai Five kwa chini kidogo. Hapo ndio kona ya Bwiru.
Bwiru kwenyewe ni mbele huko kumetuliaaaa karibu na shule ya Bwiru Boys au chuo cha Mipango tawi la Mwanza.
kwa miongozo ya wanazengo humu ndani hadi sasa, nimebahatika kuzipigia tiki sehemu zifuatazo (kifuatacho baadae nkuja kufanya physical survey)Kona ya bwiru ni mbele kidogo ya Ghana kama unaenda Nyamanoro/Pasiansi/Aiport kuna bar maarufu ya Diamond na Hotel ya Tai Five kwa chini kidogo. Hapo ndio kona ya Bwiru.
Bwiru kwenyewe ni mbele huko kumetuliaaaa karibu na shule ya Bwiru Boys au chuo cha Mipango tawi la Mwanza.
Kiujumla mwanza hakuna slums na pia ni maenei machache sana yana asiliwa na mafuriko hasa yaliyo kwenye njia za maji na mabondeniHabari wana JF,
Kwa wale ambao wanalifahamu jiji la Mwanza vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?:
1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini.
2. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka.
3. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, ..etc).
4. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile.
5. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante mkuuKiujumla mwanza hakuna slums na pia ni maenei machache sana yana asiliwa na mafuriko hasa yaliyo kwenye njia za maji na mabondeni
Mwanza sehemu nyingi ni middle class exclusive au mix ya middle na upper lower class
Uswazi hasa ni mabatini,mkuyuni,igogo,sahara,bugarika,butimba na kirumba
Sahara ukivuka kanisa la Roma acha kabisa,kuna kipindi kupita sahara tu mchana unaogopa acha usiku, Igogo ndio lilikuwa chimbo la bangi na majambazi ila walikuwa wanaenda kuiba mbali lakini ndio uzuri, mabatini kila nyumba lazima inauza gongo au pombe yoyote ya kienyeji
Sent from my iPhone using JamiiForums
Maduka tisa mi sikushauri lakini.kwa miongozo ya wanazengo humu ndani hadi sasa, nimebahatika kuzipigia tiki sehemu zifuatazo (kifuatacho baadae nkuja kufanya physical survey)
Mwananchi,
Nyasaka,
Bwiru,
Maduka tisa,
Isamilo.
vp hapo lisy yangu mkuu niko vizuri..au kuna nimezingua kutokana na matakwa yangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiseke barabara imewekwa lami? Ile njia inatesa utadhani unaenda Igombe
Nataka nije kutembea July huko, nimeondoka 2017 mpaka leo sijarudi tena.sawa sawa mkuu nashukuru kwa muongozo wako...Mungu akutangulie mkuu..umeipatia mwangaza wa kujua haya maeneo vizuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
nouma sana igombe=:: lami mwisho malaika hotelKiseke barabara imewekwa lami? Ile njia inatesa utadhani unaenda Igombe