Recent content by chululuu

  1. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Unataka Mume Wa Maana Jijenge Uwe Wa Maana. NO MORE CINDERELA STORIES.

    Lara 1 umeolewa????
  2. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabila linalowajali zaidi wanawake wanapojifungua,Wachagga wajitamba

    Wamang'ati hawapo nyuma.
  3. chululuu

    JamiiForums Tanzania Basi bhana na mimi nmekuwa mjumbe hapa

    Karibu sana
  4. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya harusi ya milioni 20 huku unaishi kwenye nyumba ya kupanga ni aibu

    Fanya yako mkuu ya jirani hayakuhusu.
  5. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu demu kweli Ananipenda?

    Kusoma hujui hata picha huioni gadem.
  6. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizaa mtoto wa hivi utafanyaje?

    Naona unamsema Le mzee wa mabebeZz wakareeeeezzz u know. Mazafantazzz super gadem.
  7. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto yangu kwa mwanaume alieniacha miaka mitano iliyopita

    NATAFUTA, We unatamani nini mdau? Pole sana, hizi ni ndoto za mchana. Kuna mwenzio mmoja naye anaomba ndoto hiyo hiyo initokee.blalifulu!!
  8. chululuu

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Akili ya mtoa post ina walakini.
  9. chululuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Yenu Vijana Yanishindaaa! Nimenawa Mikono! Najuuta kumshauri huyu binti

    Lara 1 how old are you..???
  10. chululuu

    JamiiForums Tanzania Tariffs za TANESCO zipoje?

    Koleba salute kwako. Umejibu maswali kitaalamu sana. Tanesco ingekua na watu 50 kama wewe tungekua mbali.
  11. chululuu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    Yaaap hapo sasa nimekupata 433230 makato kwa mwezi it's possible.
  12. chululuu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kuchukua mkopo

    Ndugu walusimbi hizo calculation zako ni fake
  13. chululuu

    JamiiForums Tanzania Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Nawafahamu walimu kama kumi na askari mmoja ambao wanatumia vyeti bandia na maisha yanasonga. Huu ni mwaka wa 18 sasa na maisha yanasonga.
  14. chululuu

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    Wana JF kutoa ni moyo sio utajiri.
  15. chululuu

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Mtoa post huyo ni mbunifu wa mavazi na sio Paul Makonda.
Back
Top Bottom