Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 264
- 122
Nina demu wangu amenizoea nami nimemzoea kiasi kwamba uwa na mmiss saa zote.
Lakin kanizoea kwa ukali wangu kwake kitu ambacho uwa anakimiss mara kwa mara.
Uwa anasoma na kufanya kazi.
Ana kwake na pia nina kwangu,
Kaniambia hiki ni kipindi cha mitihani chuo. Na mitihani haina time table lecturer ushtukiza kwenye lesson yake.
Hivo analala hostel na kampani ya mashoga zake for group discussion.
Lakini uwa tunawasiliana usiku akimaliza discussion.
Cha ajabu!! Juzi nimempigia simu majira ya saa 4 usiku, akasema "subiri nitakupigia".
Mie nikakataa nikamjibu hapana leo siko vizuri nalala mapema kesho job.
Nikamuaga beiby Nakupenda, wewe je? Kimyaaaaaaaaaaaa "ntakujibu baadae nina discussion"
Nikamwambia sawa nikiss basi nilale vizuriiiii beibbiiiii...
"Nimekwambia nitakupigia baadae"
Simu ikakatwa na kuzimwa.
Asubui naombwa msamaa anadai eti alikuwa na walimu anawaheshimu sana.