Ukizaa mtoto wa hivi utafanyaje?

Ukizaa mtoto wa hivi utafanyaje?

Ahaaaa umefikisha ujumbe vizuri.ongera zako bila shaka atapita hapa kimyaaa
 
Wanajamvi,

Mtoto ni baraka na neema kutoka kwa Mungu, ndo maana hakuna ndoa yenye furaha bila mtoto.Mwanamke asipozaa ktk ndoa huwa anasimangwa sana hadi kufikia kuambiwa kuwa anajaza choo tu na hana faida kwa mumewe wala familia ya mumewe, na ktk kuzaa tunatarajia kupata watoto wa kutulea pindi tumezeeka na hatuwezi tena kufanya kazi.

Kwa mfano wewe ni kiongozi mkubwa wa serikali, jamii yote inakuheshimu kwa ufanyakazi wako uliotukuka. Mtoto wako wa kwanza akawa wa kiume na ukamsomesha kwa gharama kubwa nje ya nchi.

Anarudi nyumbani huoni matunda ya Elimu ya mwanao zaidi ya kushinda vijiweni na kumbi za starehe huku akipenda sifa na kujitapa, umri wa mwanao unaenda hadi kufikia miaka 50 ila tabia zake zinakuwa sawa na kijana wa miaka 17,na ndo mtoto wako pekee huna tena mwingine.

Hajishughulishi na kazi yoyote wala biashara yoyote zaidi ya mishen town tu, na zaidi ya yote ktk umri huo wa miaka 50 anakaa nyumbani na hajaweza kujitegemea, wewe baba yake umri umeenda upo kwenye age ya 80 ,umeshampatia sana mitaji ila huwa anakula tu na kuendelea kuishi nyumbani, sasa kama ni wewe ndo mzazi utalifanya nini toto la hivi?

Na hasa ukuzingatia kuwa vijana wengi waliozaliwa ktk familia maskini na wana mitaji midogo lakini wanainuka kimaisha, toto la hivi utalifanyaje?

Naona unamsema Le mzee wa mabebeZz wakareeeeezzz u know. Mazafantazzz super gadem.
 
Mkuu umemaanisha lile jamaa linene la Insta,ambalo halikosagi kwenye party yoyote. Linapenda kujitapa limesomea mbele??
 
Labda itabidi kupima DNA sasa,isije kua umelea mtoto asiye wako.
Maana hiyo 49%-50% itakua Inahusika.
 
Nampeleka kwa Blair, wakalioe! Maana halina faida, bora liolewe tu!

Hakuna namna tena!
 
Mtoto ni baraka na neema kutoka kwa Mungu, ndo maana hakuna ndoa yenye furaha bila mtoto.Mwanamke asipozaa ktk ndoa huwa anasimangwa sana

Badala ya kukemea tabia hii ya kusimanga wanawake unaongea as if ni kawaida/sawa.

Sio kila wanandoa wana mpango na mtoto.

Sio kila wenye watoto wana furaha..... Waulize wenye watoto walioathirika na madawa
...walevi kubuhu

Watoto walioacha shule na kuamua kuwa wezi...

Watoto kitega uchumi chao ni ushoga...

. Na watoto kama huyo uliyemuongelea....
 
We unaleta stori za ulaya,ila kwa afrika mtoto ni mali kuliko maghorofa na mavx ,hata akiwa chizi au jambazi,muulize dk mwaka atakwambia
 
Wanajamvi,

Mtoto ni baraka na neema kutoka kwa Mungu, ndo maana hakuna ndoa yenye furaha bila mtoto.Mwanamke asipozaa ktk ndoa huwa anasimangwa sana hadi kufikia kuambiwa kuwa anajaza choo tu na hana faida kwa mumewe wala familia ya mumewe, na ktk kuzaa tunatarajia kupata watoto wa kutulea pindi tumezeeka na hatuwezi tena kufanya kazi.

Kwa mfano wewe ni kiongozi mkubwa wa serikali, jamii yote inakuheshimu kwa ufanyakazi wako uliotukuka. Mtoto wako wa kwanza akawa wa kiume na ukamsomesha kwa gharama kubwa nje ya nchi.

Anarudi nyumbani huoni matunda ya Elimu ya mwanao zaidi ya kushinda vijiweni na kumbi za starehe huku akipenda sifa na kujitapa, umri wa mwanao unaenda hadi kufikia miaka 50 ila tabia zake zinakuwa sawa na kijana wa miaka 17,na ndo mtoto wako pekee huna tena mwingine.

Hajishughulishi na kazi yoyote wala biashara yoyote zaidi ya mishen town tu, na zaidi ya yote ktk umri huo wa miaka 50 anakaa nyumbani na hajaweza kujitegemea, wewe baba yake umri umeenda upo kwenye age ya 80 ,umeshampatia sana mitaji ila huwa anakula tu na kuendelea kuishi nyumbani, sasa kama ni wewe ndo mzazi utalifanya nini toto la hivi?

Na hasa ukuzingatia kuwa vijana wengi waliozaliwa ktk familia maskini na wana mitaji midogo lakini wanainuka kimaisha, toto la hivi utalifanyaje?

Ivi mmekosa habari za kuandika mpaka mnafuatilia maisha ya watu? i dont like this big boy lakini hii ni too much. yeye ndo maisha alochagua na anaenjoy the way he is, kwani nilazima kila mtu afanane na mwingine? na tumekuwa tukiandika vitu vingi kumuhusu na vingi si vyakweli. Jamani eeeee!! let the boy leave is life. Kama humpendi dont talk about him ( as i do)
 
Hivi huyo ----- mwenye miaka 50 bado ni mtoto ???????

Pumbavu sana .... Fukuzia mbali akajitegemee kama atalala baa/gest/barazani ni juu yake
 
Back
Top Bottom