Recent content by chullo

  1. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepandisha umeme?

    Pia kuna baadhi.ya meter zinakopesha umeme automaticaly pindi unapoisha hasa usiku,lkn ukinunua mwingine na kuweka unapata unit kamili ila ukiweka unakatwa juu kwa juu kama nipige tafu vile,imeshanitokea bila kujua nikaripot tanesco,wakanipa tempa namba ikagoma,wakaja wenyewe wakasema watatuma...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Kikatiba: Makonda, Sirro na Wambura wakataa kupokea wito wa Mahakama 'summons'

    Hii habari ya ukweli ipo kwenye magazeti karibu yote ya leo... Unafikiri MODS anafanya kazi kwa hisia kama zako?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanasheria CHADEMA: Mbowe hatakwenda polisi

    Je wameshindwa kumwandikia barua? Mara kaandikiwa barua ya kuitwa polisi na kaenda?Iweje hii ya kutumia vyombo vya habari kuliko barua au cm? Mbona list ya awamu ya tatu hawakuitaja kama mbili za awali? Wanajua matope yao walioyafanya lkn wanajitoa akili..... Kosa hajafanya Mbowe bali...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi TRA hawalijui hili bango?

    10% Mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi TRA hawalijui hili bango?

    Kweli jina lako linamaanisha ulichoandika....kukwanguliwa ndo ipoteze maana yake?kama kukwanguliwa ni hapo juu kwenye neno ofisi.....je na hapo chini badala ya revenue [emoji117] revenge! Kweli ww ni malyenge pole ....
  6. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Set ya masofa kwa bei chee

    Ni kweli mkuu au watengenezahi ni trainee?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuwataja Vidagaa na kuwaacha Nyangumi/papa si ajabu ni moja kati ya mambo ya hovyo

    Makonda akachukue kwa wa msoga alipewa ndo aanze nayo kusema Lissu ataje mengine ni sawa kutawaza alafu ndo uende haja....
  8. C

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ aliyedaiwa kumuua konda wa daladala, afikishwa kortini na mwanaye

    Ndg sio afande,mtoto wake ambae ni mwanafunzi alidaiwa nauli akagoma kulipa akaenda kumwambia baba ake,baba ake akazoana na wajeda wenzake wakaenda road wakamchukua konda na kwenda nae kambini kilichoendelea huko hatujui....lkn mshkaji alitoka akiwa hoi kupelekwa hosptal akakata moto,sasa picha...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Sasa waomba ushauri wa nn wakati umeshaamua,ww endelea ila muda ndo utaongea! Mmepima afya sawa,je mkewe hachepuki akamketea mmewe akakugawia hayo maradhi? Au mkewe nae fala kama mmeo? Na mmeo ajua cinema yote ngoja apate kazi uone mziki wake .... Mkipanga kukutana hufanyi wampa yote hata...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, asili ya majini ni ipi?

    Ndg hao malaika wakiongozwa na mkubwa wao lusifer ni mara baada ya Mungu kumuumba Adamu,akamwambia Adamu ntakuletea msaidizi wa kufanana na ww....Ndipo akamwambia Adamu na tuumbe mtu kwa mfano wetu! Hii kauli haikumpendeza lusifer kwani yy wakati huo alikuwa ndo malaika mkuu,akahoji kwann...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Je, asili ya majini ni ipi?

    Seliselina naomba nikusahihishe kidogo ktk bible hakuna sehemu palipoandikwa kuwa Mungu aliumba shetani,big NO! Ila Mungu aliumba malaika,malaika walipoasi ndo wakaitwa mashetani.....
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mama Mjane amlilia Rais Magufuli mbele ya Waziri wa Sheria

    Lakini si kuna muhimili moja umechimbiwa zaidi ya mingine?Atumie turufu yake hapo!
  14. C

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Ujasiri upi ?wa kukamata vidagaa na kuacha makambale yakila maisha,hata hao askari ni wa vyeo vya chini sana kuna wakubwa zaidi ya hao,pia akamate na mapapa ila kwa mwendo huu hamna lolote zaidi kiki ya kurudi kwenye media!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Haya mabango yahakikiwe kabla hayajabandikwa

    Bonge la aibu...kwani lazima waandike lugha ya ya malkia? Mbona hapo chini huo ujumbe wa ukimwi hajakosea? Wajilipue tu kwa kiswahili kama kule AU....
Back
Top Bottom