TANESCO wamepandisha umeme?

TANESCO wamepandisha umeme?

Nilikuwa sidaiwi mkuu, walipoweka mita yao niliwalipa hela yao yote.
 
LUKU
(jina la mnunuzi)
(mita namba)
SELCOM3EMDB15549958
36.50kWh

0712 4820 1739 5435 5652

Cost TZS 10,655.74
VAT 18% TZS 1,918.03
EWURA 1% TZS 106.56
REA 3% TZS 319.67
TOTAL TZS 13,000.00
 
Hivi na ile huduma ya tariff unit77 kwa elf10 hua mnailimit isivuke mwezi ama inakuaje?

Coz sina matumizi makubwa ya umeme ila zinakimbia sana... Naomba ufafanuzi pls
Ndo hivyo ndani ya mwezi usizidishe hizo unit,zikizidi tu tarrif inabadilika
kuhusu umeme kwenda sana jaribu kuangalia wiring yako itakuwa na leakage
 
Hivi zile fedha zilizokuwa zinafichwa na wafanyabiashara ili kumhujumu zilishapatikana??

Au kashachapisha nyingine ili kuwakomoa??
Jamaa akiwa anaongea na Taifa anajisahau akidhani anaongea na vijana wanaochunga ng'ombe zake kule kanda ya "nyonyo"
 
Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.

Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?
Yeah... umepanda ila kwa ngazi ya mita, hatupendi watu walalamike kwa pamoja mkatupotezea mwimbo wetu wa madawa ya kulevya..
 
Ungefanya japo kutembelea kituo cha Tanesco kilicho karibu yako halafu majibu yake ndio tuanzie hapo
 
Pia kuna baadhi.ya meter zinakopesha umeme automaticaly pindi unapoisha hasa usiku,lkn ukinunua mwingine na kuweka unapata unit kamili ila ukiweka unakatwa juu kwa juu kama nipige tafu vile,imeshanitokea bila kujua nikaripot tanesco,wakanipa tempa namba ikagoma,wakaja wenyewe wakasema watatuma tempa namba nyingine. Wakatuma ikagoma wiki ikakatitka huku wanambia fanya hivi mara bonyeza enter kwa muda fulan lkn wapi.Hatimae akaja mkubwa wao ndo akagundua kuwa meter ilikopesha umeme wa elfu kumi....nikanunua umeme nikaweka mambo yakawa fresh...
 
Back
Top Bottom