Hivi TRA hawalijui hili bango?

Tatizo lako hasa ni lipi?

Kiingereza na Kiswahili ni lugha za kiofisi za Tanzania...
 
Hilo bango kuna mtu alikwangua usiku wa kuamkia jana akabadilisha maneno. Si kwamba lilikosewa bali ni watu wenye zile tabia za ajabu. Linesharekebishwa mchana wa leo.
Kweli jina lako linamaanisha ulichoandika....kukwanguliwa ndo ipoteze maana yake?kama kukwanguliwa ni hapo juu kwenye neno ofisi.....je na hapo chini badala ya revenue revenge! Kweli ww ni malyenge pole ....
 
Bila shaka alifanYa hvYo kala cha senda kanoge nasikia huko kuna joint balaaa au za igagala no 5 wanaloweka kwenYe mawese kabisa ukiroll joint unapaaa
 
Hata kama imekwanguliwa, bado kuna makosa ya kiuandishi. Ofisi ya mapato tafsiri yake siyo revenue authority office, bali ni ofisi ya mamlaka ya mapato
 
Bila shaka alifanYa hvYo kala cha senda kanoge nasikia huko kuna joint balaaa au za igagala no 5 wanaloweka kwenYe mawese kabisa ukiroll joint unapaaa
Mmh mkuu cha Nsenda kanoge cha mtoto, huyo angekula cha Usoke mlimani yaani hilo bango ndo angeenda na kulisimika uelekeo wa Jamhuri by night kabisaa.
 
Back
Top Bottom