Recent content by chuini

  1. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Clouds Media: Wasitisha top 20 ili kucover msiba wa Agnes

    Hakika sijui alitakaje,unawezakuta mtu ana mastress yake basi anamalizia wengine ili nao wawe kama yy.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Usikubali kuzidiwa na hasira itakuletea matatizo makubwa sema na mkeo kwanza pili thibitisha basi kama ni kweli ukikundua ni kweli tafuta mtu wa karibu na huyo jirani yako amwambie juu ya mchezo anaofanya aachane nao. Venginevo bro kuna kifo na jela itakuwa inakuhusu Ila usife kwa ajili ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Nasema tena hoja zako zinafikirisha kaka ila taratibu, psychology na philosophy zako nenda nazo mdogo mdogo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Mmmmh kaka yanafikirisha kidogo ila taratibu mkuu,ni heri kuamini yupo then twende tusimkute kuliko kutokuamini kabisa tukamkuta kwenye kiti chake cha (enzi)
  5. C

    JamiiForums Tanzania Niache kula kuku Sea Cliff kisa kupeleka watoto English Medium?

    OK andaa watakaohemshwa na wanasiasa baadae via ccm,cdm,cuf,nccr mageuzi etc
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

    Usilolijua nyamaza kimya utaficha ujinga wako
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Akili za kijinga
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Ukikuwa utapata akili ndugu haya ni maisha sio mashindano ulijiuliza je ulokuwa nae we ndio mwanaume wa kwanza kwake? Acha ujinga hata Dada yako hatokuwa mkamilifu,unisamehe yawezekana hats mama ako anaolewa hakuwa mkamilifu kama binti.chunga ulimi wako kichwa kitabaki salama
  9. C

    JamiiForums Tanzania Unstable President leads to Unstable Country

    Inamana hana jema huyu mtu kwenye nchi? Endeleeni kutiana ujinga werevu wanatambua.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

    Dhamani- Thamani
  11. C

    JamiiForums Tanzania Napenda wanawake watu wazima

    Yawezekana ni kweli interest zake na wala sio umariooo itabidi tukubaliane na mawazo yake ila ukilowea kwa hao matured women sahau mabinti rika lako maana huku kuna kuhudumia 100% walau hao matured wanaweza jigaramia kiasi.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kununua gari Be Forward?

    Ndio uko sawa mkuu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke kuwatumia wazazi fedha kwa ajili ya kilimo

    Hata kama kachagua ccm lakini mzazi ni wako ww unapaswa umuhudumie,sio kilakitu kupeleka siasani acha upimbi.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

    Choyo
Back
Top Bottom