sir mood
Member
- Feb 16, 2018
- 66
- 51
Nawakubali sana hata Mimi watu waxima wako poa I like themNa hilo neno marioo au ben 10 nimekumbana nalo sana kila ninaemsimulia upande wangu wa mahusiano...mimi moyoni huwa naona halinihusu, ni mtu tu kaamua kuniita hivyo.
Ninanvyojua marioo ni mpenzi wa umri mdogo ambae anamtegemea kichumi mpenzi wake wa kike, yaani kutegema sio shida ila hafanyi kazi kabisa, yeye anahudumia penzi tu🙁