Ulilelewa na rushwa uliyeleta hii thread yako hapa, na dhambia ya rushwa utawatafuna nyie hadi kizazi cha tatu kama siyo wewe ni watoto au wajuu zako hakuna kitu kibaya kudhulumu haki ya mtu hii ni dhambia kubwa kama riba ilivyolaaniwa katika vitabu vitakatifu.rushwa,riba na dhulma hii ni zaidi...
Hiyo hela haitoshi kununua friji la kufanya biashara labda ununue cha ghetto andaa kuanzia million chukua West point ila iwe yenye kuonyesha bidhaa au vinywaji hiyo ndo friji la kibiashara.
Yaani katika watu pumbavu kabisa ni wewe wachagga ndiyo wanaishi kwa kutegemea chadema? Kwanza utambue hata mpambane vipi na huu ubaguzi na hilo genge lenu kamwe chadema haifi na na chuki zidi ya wachagga midomo yenu hamtawaweza vyovyote vile stupid.
Rais wa haiti Charles aristide hivi bado yupo afrika maana yale mapinduzi ya mwamerica yalimfanya kukimbia na kuja africa ya kati baada ya muda akaenda zake africa ya kusini hivi kwa hii thread yako jamaa alikimbili nchi ya afrika ya kati hakuna amani vita ya akina anti baraka na seleka ndo...
Askofu wake siyule aliyeongoza kwa awamu mbili kwenye hiyo dayosisi akarudi tena kugombea kipindi kingine?malasusa ni askofu ambae sikuwahi kuvutiwa nae kabisa katika uongozi wake nimamluki wa ccm
Nyie wote mnaochangia ni mapunguani kabisa hasa nyie wenye mirengo ya kusini huwezi fananisha mkoa na mjini wa moshi washenzi nyie mm nataka mje na hoja zenye mashiko hapa ongeleeni mkoa wa Kilimanjaro kwann watu wake wako mbele zaidi yetu? Iringa yote majumba mazuri karibu yote ni watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.