Hoja ya utajiri/umaskini wa mikoa

Hoja ya utajiri/umaskini wa mikoa

Hiyo ni biashara ya kitoto sana miaka 12 unategemea miti !
mkuu Njombe ni level nyingine haina matajiri wakubwa sanaa ila watu wa milioni milioni ni wengi sana na kama seriakali ingefanya kazi yake basi Njombe ingekuwa mbali.Standard seven wengi wana CASH mbaya mtoto wa miaka kumi tatu anamiliki ekari mbili au tatu za miti ya mbao akifika miaka ishirini tano au sita tayari msitu ushakua akiuza anapata zake more that ten milioni mtaji tayari watu wanabaki kulia lia na ushirikina lakini watu wameshatembea nenda kaone Nyumba zinazojengwa vijijin sasa hivi pamoja na soko la mabo kuvurugwa
 
Wanaofanya ranting ya umasikini wange base kwenye viashiria kama shelter(makazi),upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa binadamu kama chakula,maji,afya.Kutegemea GDP peke yake haitoshi
 
Kwa mpangilio uliowekwa wazi, inawezekana. Mikoa ya Songwe na Njombe zinapata mvua ya kutosha na kilimo cha mazao mengi hustawi kwa sana.

Mkoa was Arusha hauwezi kuufikia mkoa wa Njombe hata kidogo hasa kwa upatikanaji wa mahitaji ya msingi, Chakula na ukwasi wa wananchi hasa vijijini.

Mkoa wa Njombe pia una watu wengi waliopata elimu ya mkoloni na hivyo kujua kufanya biashara ya kisasa ya kujiletea maendeleo kuliko Mwanza na Arusha.

Mkoa Njombe pia una biashara kubwa ya miti ya mbao kwa muda mrefu. Jina la Mkoa ni changa lakini Shughuli za kiuchumi sio changa.

Kikubwa sana na tofauti kubwa iliyoonekana waziwazi ni tofauti za kina cha elimu katika maeneo.
Kaka umemaliza. Mi nipo Njombe hali ya uchumi inakua kwa kasi. Mpaka wageni wanao kuja Njombe hawajui msimu gani ni wa hela na upi sio wa hela. Misimu yote ipo sawa.
kuhusu UKIMWI usihofu inawezekana Njombe tuna mwitikio mzuri wa kutambua afya zetu.juzi kati hapo nilikuwa DAR, ngono zipo njenje pamoja na joto la DAR. Njombe tuna kauli mbiu hii PIMA, JITAMBUE, JALI AFYA YAKO, TIMIZA MALENGO YAKO
 
Back
Top Bottom