House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,213
Sasa nahitaji vitu viwili tu. Nataka kununua mashine ya kusaga chakula cha kuku,naomba msaada, hizi zina tofauti na mashine zingine za kawaida? Nitapata wapi hasa mashine hii,bei yake ni ipi kwa mashine za kawaida zinazoweza kusaga tani 2 kwa mwezi. Mjasiliamali aliye na uelewa kwa swala hili naomba anisaidie kunipa elimu ya aina na aina za hizi mashine na bei zake.Naweza kunipm pia