Leo hii nashawishika kupingana na mitazamo ya watu wengine juu ya kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe

mchango wa vyama vya upinzani kwa maendeleo ya nchi yetu ni mdogo mno kulinganisha na faida binafsi za viongozi wa upinzani.
 
Mkuu hiyo haitakuja kutokea kwa wana cdm maana wote wanajitambua
Hakuna kosa kubwa litakalo igharim CHADEMA kama siyo kuifuta kabisa kwenye ulingo wa siasa kama watamuondoa mwenyekiti wao kwa kutumia kigezo cha muda wa kukaa kwenye uongozi bila ya kuangalia usalama wa chama kwanza,hasa kipindi hiki ambacho CCM wametega antenna zao kuangalia upenyo wa kupenyeza kirusi chao kitakachokuwa kinaongozwa remote za Lumumba.

Kama akina Mrema ambao tayari wameshamteua mwenyekiti wa CCM kuwa mgombea wao na kusahau kabisa kuwa naye ni mwenyekiti anayesitahili kugombea kwenye chama chake cha TLP.
 
Hlo mnataman sana bt chama hiki ntaendelea kuwa juu juu kilelen ndio mana p1 na nguvu kubwa inayotumika kutaka kuua upinzan bdo mnaendelea kuweweseka tu
Siku mkijakushtuka mnatafunwa na karma ya kumchafua Dr Slaa mtakuwa equivalent to NCCR ya sasa. Ile dhambi lazima muitubu ndio msonge mbele.

Mtambeza yule mzee kwa maneno yenu yote ila mtafika tuliposema kipindi mnasaliti viapo vyenu.

Mmeshupaza shingo kuponya majeraha ya 2015 na ndio yanawatafuna. Chadema soon inaingia kwenye historia ya NCCR!

Tunataka upinzani unaoweza kusimamia maneno yao badala ya kuokota ovyo kila jambo. Chadema failed us, wanatakiwa watu tutakao waamini na kusimama nao na si leo EL kesho maembe! Otherwise bora hiyo CCM itawale milele
 
Ndugu wanabodi ninachoeleza hapa ni uhuru wangu kifikra.
Leo hii nashawishika kupingana na mitazamo ya watu wengine juu ya kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe.
Naomba ieleweke kwamba sikatai kwamba Mbowe amekuwa na mchango mkubwa katika kukiimarisha chama lakini huwa inatokea malaika akageuka kuwa shetani na kudumaza imani za waaamini.
Naomba niweke hapa kinachonifanya nimuone Mbowe kuwa kirusi na tatizo ndani ya CHADEMA na upinzani kiujumla.

1. Sababu ya kwanza ni uking'ang'anizi wa madaraka. Mwenyekiti Mbowe amekaa madarakani kwa muda mrefu mno kiasi kwamba itatuwia vigum kudhibit harakati za JPM kutaka kubadili katiba ili aendelee kubaki madarakani.Ikumbukwe kuwa Mbowe amekuwepo madarakani zaidi ya miaka kumi na hii inafanya CHADEMA kutokuwa mfano mzuri katika dhana nzima ya kupokezana madaraka.

2. Ujio wa Lowassa. Ninaamini kwa kiasi kikubwa kuwa Mbowe alitumia ushawishi wake kuhakikisha chama kinampokea Lowassa bila kujali athari ambazo chama kitazipata. Matokeo yake ujio wa Lowassa ukasababisha kuuwawa kwa ajenda kuu ya chama (UFISADI) na kuzalisha mamluki ndani ya chama kama wakina Mgeja.

3. Uteuzi wa katibu mkuu Mashinji. Haieleweki ni vigezo gani vilivyotumika kumpa nafasi ya ukatibu mkuu Dr. Vincent Mashinji. Chama kilihitaji mtu anayekijua , mtu anayefahamika katika mapambano ya demokrasia ili kuendeleza pale ambapo Dr Slaa aliishia. Wapo wakina Lissu, Mch Msigwa n.k lakini ajabu chini ya Mbowe Chama kikamleta Dr Mashinji na kimeendelea kumkingia kifua ilihali haifahamiki anafanya nimi ofisini. Inavyoonekana ni kama Mbowe alihakikisha anapatikania katibu mkuu ambaye hawezi kumzidi umaarufu.

4. Kushindwa kutoa mwongozo na kusimamia masuala muhimu ya wabunge wa chama. Tumeshuhudia baadhi ya wabunge wakipoteza ubunge wao kwa sababu za kitoto kabisa na Mbowe kama mwenyekiti ameshindwa kuonyesha ni namna gani chama kinashiriki kuwajengea uwezo wabunge wake. Mathalani Tukio la Nassari na Lissu.

Baada ya Lissu kushambuliwa ilitegemewa kwamba chama kitashika hatamu katika kushughulikia mambo yote muhimu ya kibunge ikiwemo kulitaarifu bunge kimaandishi kuhusu masuala yote yanyomhusu Lissu na ikiwezekana chama kuteua mbunge ambaye angesimama kama mfariji wa wana Singida mashariki kwa kuwasilisha kero zao bungeni.
Kwa kumalizia niseme kuwa pamoja na mchango mkubwa alioutoa Mbowe CHADEMA wakati umefika kwa yeye kukaa pembeni na kuwa mshauri tu wa chama vinginevyo ataendelea kukiua chama maana ni dhahiri uwezo wake kukiongoza chama umefika kikomo.
Fikra zenu na uhuru wenu unawatuma kuhoji uwenyekiti wa Mbowe tu, manyanyaso ya kupelekwa jela kwa kesi za bandia na kuharibiwa mali zake huko uhuru wenu na fikra zenu haziwapeleki kumsemea hata kuwakemea watesi wake.
 
Post toka Lumumba huku ukijifanya cdm, hamlali na cdm wakat mnaweza Fanya chochote muda wowote hakika pumzi imewaishia
 
Mbowe ni kama MO Dewji pale Simba ataondoka kwa kupenda mwenyewe siyo kulazimishwa na kalunguyeye yoyote yule!
 
BAWACHA acheni kutetea mambo ya hovyo, Mbowe aoneshe kwa vitendo demokrasia anayoililia.... ni uroho wa madaraka.
Kuendelea kushikilia ofisi eti kisa hakuna mwingine mwenye SIFA ni dhahiri kuwa chama hakina watu makini, kwa mwendo huu ni vigumu kuaminisha raia kuwa CHADEMA ni chama na sio MALI ya Mtei & Co...!!
 
Mkuu, je wewe hukupitia hatua hiyo??
NILIPANDA KWA KASI YA AJABU 4G ,NILIKUWA NA POST NA KUREPLY VITU CONCRETE! SIO UTUMBO.

JIULIZE HUYU SENIOR MEMBER HANA CONCERN NA UENYEKITI WA
1.Lipumba
2.Hashim Rungwe
3.Faham Dovutwa
4.Augustine Mrema

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Acha kujitekenya mkuu usihamishe magoli, hakuna asiyejua kuwa uliowataja hapo sio wapinzani na wala hatujawahi kuwasikia wakilalama kuhusu kuminywa kwa demokrasia.... hoja mezani ni Mbowe ambaye kama KUB anao wajibu kuonesha mfano na ikibidi kuwakemea hao wapinzani wenzake kama wapo.

Umemkejeli jamaa hapo juu eti senior nini bla blah, hata mimi nimejiunga jana basi labda wakongwe tu ndo wenye haki ya kukosoa.... jikite kwenye hoja acha madharau.
 
Ndugu wanabodi ninachoeleza hapa ni uhuru wangu kifikra.
Leo hii nashawishika kupingana na mitazamo ya watu wengine juu ya kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe.
Naomba ieleweke kwamba sikatai kwamba Mbowe amekuwa na mchango mkubwa katika kukiimarisha chama lakini huwa inatokea malaika akageuka kuwa shetani na kudumaza imani za waaamini.
Naomba niweke hapa kinachonifanya nimuone Mbowe kuwa kirusi na tatizo ndani ya CHADEMA na upinzani kiujumla.

1. Sababu ya kwanza ni uking'ang'anizi wa madaraka. Mwenyekiti Mbowe amekaa madarakani kwa muda mrefu mno kiasi kwamba itatuwia vigum kudhibit harakati za JPM kutaka kubadili katiba ili aendelee kubaki madarakani.Ikumbukwe kuwa Mbowe amekuwepo madarakani zaidi ya miaka kumi na hii inafanya CHADEMA kutokuwa mfano mzuri katika dhana nzima ya kupokezana madaraka.

2. Ujio wa Lowassa. Ninaamini kwa kiasi kikubwa kuwa Mbowe alitumia ushawishi wake kuhakikisha chama kinampokea Lowassa bila kujali athari ambazo chama kitazipata. Matokeo yake ujio wa Lowassa ukasababisha kuuwawa kwa ajenda kuu ya chama (UFISADI) na kuzalisha mamluki ndani ya chama kama wakina Mgeja.

3. Uteuzi wa katibu mkuu Mashinji. Haieleweki ni vigezo gani vilivyotumika kumpa nafasi ya ukatibu mkuu Dr. Vincent Mashinji. Chama kilihitaji mtu anayekijua , mtu anayefahamika katika mapambano ya demokrasia ili kuendeleza pale ambapo Dr Slaa aliishia. Wapo wakina Lissu, Mch Msigwa n.k lakini ajabu chini ya Mbowe Chama kikamleta Dr Mashinji na kimeendelea kumkingia kifua ilihali haifahamiki anafanya nimi ofisini. Inavyoonekana ni kama Mbowe alihakikisha anapatikania katibu mkuu ambaye hawezi kumzidi umaarufu.

4. Kushindwa kutoa mwongozo na kusimamia masuala muhimu ya wabunge wa chama. Tumeshuhudia baadhi ya wabunge wakipoteza ubunge wao kwa sababu za kitoto kabisa na Mbowe kama mwenyekiti ameshindwa kuonyesha ni namna gani chama kinashiriki kuwajengea uwezo wabunge wake. Mathalani Tukio la Nassari na Lissu.

Baada ya Lissu kushambuliwa ilitegemewa kwamba chama kitashika hatamu katika kushughulikia mambo yote muhimu ya kibunge ikiwemo kulitaarifu bunge kimaandishi kuhusu masuala yote yanyomhusu Lissu na ikiwezekana chama kuteua mbunge ambaye angesimama kama mfariji wa wana Singida mashariki kwa kuwasilisha kero zao bungeni.
Kwa kumalizia niseme kuwa pamoja na mchango mkubwa alioutoa Mbowe CHADEMA wakati umefika kwa yeye kukaa pembeni na kuwa mshauri tu wa chama vinginevyo ataendelea kukiua chama maana ni dhahiri uwezo wake kukiongoza chama umefika kikomo.
Ni maoni mazuri lakini umemalizia vibaya. Unamkaribisha awe pembeni awe ni mtu wa ushauri, ushauri upi mtu wa aina hiyo atautoa? Ni yale ya Ghadafi kumshauri Mseveni! Hana jipya yeye yuko ktk biashara. CHADEMA ni mradi wa ukoo.
 
Hata kama mleta uzi umeuleta uzi kinazi lakini una hoja za msingi. Mimi kama mimi naamini kiongozi yoyote hasa wa kiafrika akikaa madarakani zaidi ya miaka kumi, huishia kuharibu mazuri yake au kuishia kuvuruga mazuri yote aliyoyapata ndani ya hiyo miaka kumi ya mwanzo. Kimsingi Mbowe amefanya makubwa ndani ya cdn, lakini ameshavuka miaka kumi ya ubora wake, kinachoendelea sasa hivi ndani ya cdm ni yeye kuharibu yote mazuri aliyofanya. Ni vyema akae pembeni kiroho safi waingie wengine waendeleze alipoishia.
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom