babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,102
- 15,996
Visa inaisha soon,tutampokea hapo kipawa apende asipende.Hawezi hana effect yoyote huyo mzururaji tuu.
Hana impact yoyote EU kwani atakua tegemezi hawezi fanya kazi kulipa kodi.
Kuendelea kukaa aombe asylum tu atapewa ila akubaliane Na masharti.
Upoyoyo wake mi wakili msomi,sijui mp niliyepokonywa ubunge baada ya kupigwa risasi 38 who cares?huko box ni box na akirudi huku kadanse ya JPM inamsubiri.
Patamu hapo,na somo lipo STFM.