Recent content by Christopher kipuyo

  1. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

    Kupiga mayowe ndo kazi,angefanya kazi vzri tume ya lembeli isingeundwa!
  2. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    Ndo maana yake!
  3. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Arusha na watu wake wote hovyo

    Nenda kasimame pale kaloleni juu ya gorofa na loud spika uwaambie ivyo,uku aitasaidia sana
  4. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Midege ya jeshi inayozunguka angani

    Hayo mafuta ni kwa hisani ya watu wa marekani
  5. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Watanzania wanaoogopa mapigano bungeni ni washamba

    Wanaoogopa nako waende na helmet
  6. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awaonya KADCO kupitisha madawa ya kulevya;Hivi hawa KADCO ni nani?

    Wanyama tu,na tanzanite iliyopo apo pembeni ya uwanja si ndo wanabeba kwa mashehena!?
  7. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

    Wee cjui Mukamasimba,iyo long term objective yenu mliyokua mnataka muitekeleze kwenye hii region imeshashtukiwa,niwashauri tu kitu.kaanzeni upya kuinfiltrate Kenya na Uganda coz nadhani ndo bado maubongo yao yamejaa ubaguzi wa kijinga. Na ole wenu mnyanyue vipua vyenu tena pande hizi,i swear...
  8. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Jacob Zuma na Nyumba binafsi ya dola mil 19: serikali yaiwekea pingamizi ripoti

    Lizuma sijui likoje,anaharibu heshma kubwa ya hicho kiti ambacho rais wa kwanza mweusi alikiacha kwa heshima ya kutukuka.ni bonge la mbumbumbu!
  9. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uganda limeionya serikali ya Congo hii leo

    YK na PK lao moja,wao ndo wanaaribu hii region ya great lake,si wajitusu tu nao wachezee kichapo wanafki wakubwa hao,hawapati tena almasi. DEAD END!
  10. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    Uyu mwanamke inavyosemekan ni dem wa mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa mulugo,na bastola pia ni ya uyo mkuu wa mkoa! Chagonja embu tazama credibility ya viongozi wetu i.e mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa.SHAME ON YOU MAGESA MULUGO kama ni kweli!!na inawezekana ni kweli
  11. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

    Kifo cha Lt mlima kimetuumiza sana,hawa m23 na m18 naomba wasambaratishwe ghafla!
  12. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA Yazidi Kujiimarisha Mitaani

    Na mbado
  13. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA Nanyaro azipiga ngumi kwenye baraza la madiwani-jiji la Arusha

    Sheria halali ndo kuiba,wee huna maana ww!embu nyie Lumumba hamieni arusha kwa muda,mtaongezewa ela lakini manundu yatawahusu as well
  14. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Waziri anapozindua choo cha matundu nane!

    Mkuu embu tujuze zaidi,profesa alizindua kwa kunya umo chooni au alikojoa!
  15. Christopher kipuyo

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mwigulu na Zitto?

    Wee boya slaa alikua namba moja,kamuulize ata Jk
Back
Top Bottom