Tundu Lissu: Watanzania wanaoogopa mapigano bungeni ni washamba


A

appriciator

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
276
Likes
1
Points
0
A

appriciator

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
276 1 0
“Watanzania kunaogopa wabunge kupigana kwenye vikao vya bunge ni ushamba” hayo alisema Mwanasheria mkuu wa Chadema wakati alipohojiwa na mtangazaji wa Star TV wakati alipowasili mjini Dodoma jana tayari kwa kikao cha bunge.
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,405
Likes
1,617
Points
280
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,405 1,617 280
We unaonaje??
 
D

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Messages
1,766
Likes
3
Points
0
D

duchi

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2012
1,766 3 0
Kwa hiyo safari hii tutarajie magumi zaidi bungeni?
 
wabara

wabara

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
1,513
Likes
1
Points
0
wabara

wabara

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
1,513 1 0
Achukue familia yake akaipiganishe,
Kichwa nadhani hakijamkaa sawa huyo,

Nji haitawaliki....?
Ashindanishe hoja si viroja, huyu jamaa sifa za ujinga zinemvuka sasa.
 
Mingoi

Mingoi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
10,983
Likes
2,830
Points
280
Mingoi

Mingoi

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2012
10,983 2,830 280
Anaitwa Tundu sasa tutegemee nini?
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
894
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 894 280
Kwa hiyo safari hii tutarajie magumi zaidi bungeni?
hili ni swali au jibu yaani kama maccm yakileta ukuda zitandikwe tu.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,151
Likes
1,773
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,151 1,773 280
kama wanapigana kwaajili ya wanyonge wapigane kabisa na nitawasapoti..
kupigana ni sera ya chadema siyo ya bunge wala watanzania.
 
Zanta

Zanta

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
2,021
Likes
75
Points
145
Zanta

Zanta

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
2,021 75 145
Akili za wabunge wetu bana, !
 
Huey freeman

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Messages
594
Likes
12
Points
0
Age
19
Huey freeman

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2013
594 12 0
naona ndugai atapanic
 
Christopher kipuyo

Christopher kipuyo

Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
21
Likes
0
Points
0
Christopher kipuyo

Christopher kipuyo

Member
Joined Aug 11, 2013
21 0 0
Wanaoogopa nako waende na helmet
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Prof. Muhongo: Watanzania ni Wavivu wa Kusoma na ni Washamba wa Kuwekeza, Pesa zao ni za Kuuza Ubuyu tu... nani zaidi hapa, Kauli inaifuata Kauli tuache Poroja za Kipuuzi... Mkuki Kwa Nguruwe, Kumbe nawe Unaumia! Duh!
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
894
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 894 280
Duh !Naona damu imenirukia kwenye nguo!

ya kuku ya bata, je ya ulimboka, kibanda,mwangosi haikurukia..acha usharobaro kijana tafuta haki..
 

Forum statistics

Threads 1,250,637
Members 481,436
Posts 29,740,013