Picha: CHADEMA Yazidi Kujiimarisha Mitaani

Picha: CHADEMA Yazidi Kujiimarisha Mitaani

chama kinachopendwa na kila Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake, Chama Cha Demokrasina na Maendeleo, CHADEMA, leo kimefanya tukio la kufungua Msingi katika Mtaa wa The Place uliopo katika kata ya Kimanga, Jijini Dar Es Salaam, katika shughuli ambayo iliendeshwa kwa ufanisi mkubwa na Mwenyekiti wa Chama Mtaa, Bwana Msafiri, na Makamanda wengine watiifu kwa Chama.

...Good work!!!!!



View attachment 118579
View attachment 118580
View attachment 118581
View attachment 118582
View attachment 118583
View attachment 118584
View attachment 118585View attachment 118586
View attachment 118587View attachment 118588
View attachment 118589View attachment 118590
....Brovo MAKAMANDA ....jiwe la msingi ubunifu makini kabisa!!!!
 
...

......Bhebhe Ng'wanangwa ng'wabheja sana mko juu geteh geteh !!!!
 
hivi huyo Chris Lukosi ni mzima? wakati mwingine nadhani anatumia kichw cha chini ktk kufikiri,nipeni cv yake!
 
Inabidi serikali ifungue hospitali za vichaa kila mkoa, hivi viroba ni hatari sana kwa ubongo

Iko dodoma waliko wengi wasiojitambua inaitwa Mirembe na ndio makao makuu ya ccm, wanakoishi wale waliomtoa nishai Mzee Sigwasi alipo watukana kama kazi kutoboa masikio
 
Asanteni sana makamanda , pamoja na Mahanga kutimka na masanduku , hilo halikuwavunja moyo ! Mungu awarudishie palipopungua .
 
hivi huyo Chris Lukosi ni mzima? wakati mwingine nadhani anatumia kichw cha chini ktk kufikiri,nipeni cv yake!

inasemekana alipata ajali mbaya sana , akaharibika kichwa vibaya sana .
 
Back
Top Bottom