Jeshi la Uganda limeionya serikali ya Congo hii leo

Jeshi la Uganda limeionya serikali ya Congo hii leo

YK na PK lao moja,wao ndo wanaaribu hii region ya great lake,si wajitusu tu nao wachezee kichapo wanafki wakubwa hao,hawapati tena almasi. DEAD END!
 
Ina maana hilo jeshi la uganda(UMF) hawajui kuwa congo kuna machafuko hali itakayosababisha mabomu kuanguka ktk maeneo ya karibu?
 
uganda ni nchi ndogo sana kijeshi wasingepaswa kuwaonya drc bali wangeomba drc iwe makini kuonya c neno linalofaa kwa drc,kabila ana jeshi kubwa tangu ln jerry akamtishia tom
 
Wachunge midomo yao. Wakati wahuniJwa m23 wanatamba walikua kimya,sasa wanapigwa wanaongea.JWTZ ina uwezo wa kuwagonga wote kwa pamoja.!
 
Back
Top Bottom