ISRAEL vs IRAN - 02
Sehemu ya 2
Na Dr. Chris Cyrilo
Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyoondoa utawala wa Shah, na kuifanya Iran kuwa chini ya utawala wa kiislamu wa dhehebu la Shia, yalifuta ndoto ya Iran kupata silaha za kinyuklia. Utawala wa kishia, uliokuwa chini ya Ayatolla Khomeini ulijikuta...
ISRAEL vs IRAN -01
Nimetamanani kuleta makala hii kutoka kwenye kitabu changu cha ISTILAHI ZA UHALIFU NA USALAMA, ili watu wajifunze na kujadili wakiwa na taarifa ambazo naamini awaki hawakuwa nazo.
Dr. Chris Cyrilo
Sehemu ya I
Ndani ya jengo la makao makuu ya shirika la kijasusi la Mossad...
Jengo la Maalim Seif sio mali ya ACT Wazalendo, ni mali ya Maalim Seif.
Enzi za JPM jengo hilo liliporwa kutoka kwa Naalim wakapewa CUF ya Lipumba. Mama Samia amerudisha kwa Maalim, ambaye alishahamia ACT.
Kwa sasa jengo lipo chini ya Maalim Seif Foundation, na chama cha Maalim Seif (ACT)...
Mei 1998, Andrew Chenge, akiwa mwanasheria mkuu alihalalisha (Authorized) malipo ya dola 600,000 kwenda kwenye akaunti ya kampuni iliyoitwa Langley Investments Limited, kampuni iliyomilikiwa na aliyekuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania, Dr. Idrissa Rashidi. Gavana Dr. Rashidi ndiye alikuwa na...
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA MKANGANYIKO WA UDAHILI WA WANAFUNZI WA MKUPUO WA MACHI, 2021. JE, WATENDAJI WAKE WANAPINGANA NA MAONO YA RAIS WA NCHI ?
Kwako Waziri Pro. Joyce Ndalichako!
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge...
Sayansi haisemi uongo, Ila uongo unaweza kujitengenezea sayansi yake. Uchunguzi wa kimahakama wa matukio ya uhalifu ni uchunguzi wa kisaynsi unaolenga kukusanya ushahidi usio na shaka na kisha kuwapata wahalifu. Taaluma hii ni ngumu, tofauti na inavyoonekana kwenye filamu na riwaya.
Kanuni moja...
Techint/Technical Intelligence;
Katika istilahi za kiusalama neno Techint humaanisha intelijensia ya silaha na vifaa vingine vya kivita vinavyotumiwa na nchi zingine. Ili taifa moja liweze kujilinda vema ni lazima kuwe na utaratibu wa kufuatilia maendeleo ya teknolojia ya silaha katika nchi...
sijui Kama wewe ni mzee au kijana kwa sababu unatumia 'avatar' , na sina shahuku wala hamu ya kukujua upo wapi. Lakini nikujulishe, Mimi ni Daktari niliyehitimu chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Muhimbili.
NADHIRI ISIYO TAKATIFU
|Umuhimu wa kutunza kumbukumbu na umuhimu wa teknolojia katika uchunguzi wa matukio ya uhalifu.
Kitabu: Istilahi Za Uhalifu Na Usalama: Sura ya 4: uk. 77
Na. Dr. Chris Cyrilo
Somo simulizi
Miongo miwili baada ya Adolf Hitler kuiingiza Ulaya katika vita kuu ya pili ya...
CHADEMA INAHITAJI VIONGOZI WA AINA GANI KWA SASA?
(Andiko hili lina chembe za ushetani ndani yake)
Haya ni maoni yangu binafsi juu ya aina ya viongozi wanaohitajika kwa faida ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kwa kutazama mfumo wa utawala uliopo nchini Tanzania kwa sasa, lakini pia kwa...
Kuna vijana wanajadili kuhusu ukomo wa uwenyekiti wa Mh. Mbowe ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) halafu wanahusisha na ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wanadai kwamba kitendo cha baadhi ya vijana wa Chadema kutaka Mbowe aendelee basi kinawapunguzia nguvu ya...
CHONDE VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI - HISTORIA INAWASUTA.
"Viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura wakati huu, ni sawa na kuchochea chuki"
Hali ya maisha katika nchi za mashariki ya kati ndio mfano halisi wa mambo makuu matatu yanayoweza kumfanya binadamu aamue kwa hiari yake kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.