JAMANI NAOMBA KUULIZA KUNA MAKALA NMEIONA KWENYE GAZETI FULANI NATAKA NIILETE HAPA NA NYIE WENZANGU MUIONE NI NZIRI SANA INAFUNZO KUBWA..SWALI LANGU NI NATAKA NIIKOPI HUKU SHERIA ZA KUKOPI KAZI YA MTU ZIKOJE NAOMBA MSAADA NISJE HUKUMIWA BADAYE..MKUU THE BOLD NAOMBA MSAADA
kuna watu ambao wmezoea kufanya hivyo na wangefanya wao hata tusingeshituka ben pol ndo mtu pekee ambaye jamii ilimtegemea kama kiyoo bora kwa watoto na wakubwa ndio maana watu wamereact vibaya...
umeongea point ndugu yani kama hata benpol amefikia huko mtu ambaye ndo alikuwa katika kundi la wchache wenye mfano bora kwa jamii amefanya hvyo daah inasikitisha sn
ucha kuwa mtumwa wa fikra ndugu unaposema kwenye nchi za wenzenu hv vtu ni vya kawaida hii ni tanzani jifunze kusimamia tamaduni na taratibu za taifa lako kwanin uishi maisha ya jirani yko wakati wewe unamisha yko mambo ya kuiga yanatupoteza ndo mana hata muziki wetu unakosa soko la kimataifa...
hii ndo nchi onaayoongozwa na mtukio mpka tupate matatizo ndo wtu wachukue hatua...wanafunzi wamekufa ndo selikari ankumbuka kukagua magari ya shule ni mpka watu wamekufa..sasa jiulize hv vtabu vimwaathili.wtu wangapi kwa miaka.mongapi tume zilozokuwa zinaundw kila siku zlifanya kaz gan..hii...
Lowasa anasema hii nchi inabidi itawaliwa na chama kongne inatkiwa tufanye mageuzi cyo kila soku CCM tu...swli langu ni kwamba alpokuwa ccm hakuyajua haya ndo anayajua leo au ndo unafiki wa kisiasaaa amekaa CCM zaid ya miaka 20 na kuitetea hyo ccm na alikuwa kiongoz mkubwa kweli hii nso Tanzagizaaa
asee nmapata elimu sna kuptia liwaya na mkala mbali mbali mgano INTERNATIONAL SPACE..UTATA KUHUSU KIFO CHA JF KENNEDY NA KUHSU MUAMAL GADAFI..niksoma hzo.mamboo naburudka sna yaani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.