Recent content by Chris el

  1. Chris el

    Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

    Thanks brother ushauri mzuri... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Chris el

    Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

    Bwana Yesu Asifiwe ndugu yangu...Yesu Kristo Alikuja kuitimiliza Torati au Sheria au Neno baada ya makuhani na mafarisayo kuhubiri habari za Mungu lakini wao hawafuati matendo na neno la Mungu hivyo Dini sio njia yakufanikisha kusudi la Mungu Kutuumba yani Mungu Pamoja na Sisi Emmanuel bali Yesu...
  3. Chris el

    Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

    Kwa niaba yangu na wenzangu kama mtu tisa hivi yani Gusta Shada family Tss natubu kupiga charter za majina yetu kila kona ya shule hadi vyoo vya walimu vitabu vya shule sahani na vijiko vya shule na kubadili jina shule kwa maandishi makubwa juu ya gorofa yani lango kuu la kuingilia shuleni kwa...
  4. Chris el

    Inahitajika gari kati ya hizi, ist, raum new model au spacio new model

    Nipige 0714400871 ipo ist engine vvti cc 1290 mpya Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
  5. Chris el

    Nyumba inauzwa eneo Kivule Bomba mbili

    Kama upo Dar jitahidi ufike site utaipenda na unaongeza salio hadi 25m.
  6. Chris el

    Nyumba inauzwa eneo Kivule Bomba mbili

    Milioni 30 Mazungumzo yapo...Picha nimeshindwa kuziweka labda simu yangu ila nitafute WhatsApp...0755508223
  7. Chris el

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Salamu... Tafadhali naomba tafsiri ya neno BROUGWE AREA maana niliota ndoto // ufunuo miaka mingi iliyopita lakini bado nakumbuka nadhani ni message fulani kulingana na tukio husika neno hilo liliandikwa kwenye kibao kuelekea huko nilikooneshwa au kuoteshwa mambo husika na barabara ilikuwa ya...
  8. Chris el

    Nyumba inauzwa eneo Kivule Bomba mbili

    Phone...+255755508223...Nyumba ipo Barabarani kabisa ni dakika 10 au 15 kwa gari kutoka Ukonga Mombasa kwenda Bomba mbili kupita Ukonga mazizini... Eneo la kiwanja Robo heka, Nyumba ni kubwa imechukua eneo karibu lote la Kiwanja japo haijaezekwa... Karibuni.
  9. Chris el

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Nauza Kiwanja 35X35 nusu heka bei milioni 2 kipo Pwani Mkuranga Kata Kiparang'anda Kijiji Kise Jirani na Kise Shule ya Msingi ... Hati ya Kijiji ipo... 0714 400 871... Message tafadhali.
  10. Chris el

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Au kama season ya NIKITA...
  11. Chris el

    Moto mkali wawaka Julius Nyerere International Airport; wadhibitiwa

    Nikweli... Source mimi nipo hapahapa kifupi moshi umezagaa sana watu wote wametolewa nje kazi ya kuzima inaendelea msihofu.
  12. Chris el

    Je Papa anakufuru?

    Papa Ana Abudu Miungu au Sanamu...
  13. Chris el

    Je Papa anakufuru?

    Petro =Jiwe au Mwamba... Kifupi Historia Unayotoa Iweke Sawa pengine unapotosha kwa maksudi au huijui vizuri ila elewa kwamba Shetani alijipanga kupinga ujio wa Yesu Kristo katika Nchi ya Israel kama Mfalme wa Wana wa Israel kumbuka Mungu Ndiye Aliyewaahidi Wana wa Israel Kuwaletea Mfalme ila...
  14. Chris el

    Je Papa anakufuru?

    Wengi Wameitwa Lakini Wateule ni Wachache Yaani Kila Mahali Walokole ni Wachache Hiyo Ndio Njia Nyembamba iliyosonga... Yesu Kristo Alisema Nira Yangu ni Laini na Mzigo Wangu ni Mwepesi Mtu Haji Kwa Baba ila Kupitia Kwangu... Mimi Ndiye Njia Kweli na Uzima... akasema Ombeni lolote Kwa Jina Langu...
Back
Top Bottom