Nyumba inauzwa eneo Kivule Bomba mbili

Chris el

Member
Jul 31, 2016
22
10
Phone...+255755508223...Nyumba ipo Barabarani kabisa ni dakika 10 au 15 kwa gari kutoka Ukonga Mombasa kwenda Bomba mbili kupita Ukonga mazizini... Eneo la kiwanja Robo heka, Nyumba ni kubwa imechukua eneo karibu lote la Kiwanja japo haijaezekwa... Karibuni.
 
Milioni 30 Mazungumzo yapo...Picha nimeshindwa kuziweka labda simu yangu ila nitafute WhatsApp...0755508223
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom