Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

Nahitaji kiwanja maeneo ya Goba kisipungue 40X30 budget yangu ni mil 12
Kiwanja kipo japo siyo Goba bali ni karibu sana na Goba kabla ya Msumi,Umeme upo jirani sana nipigie 0712 234 095 Piemu
 
Kiwanja Ekari moja na nusu na banda kubwa la mifugo vinauzwa viko Mbezi Msumi 6km kutoka Morogoro Road,Kabla ya Msumi mwisho, umeme upo na ni barabarani kuelekea Mont Primary School.Pia uwezekano wa kukata kata viwanja vidogo vidogo upo kufuatana na mahitaji yako,Simu 0712 234095 dalali hatakiwi serious buyers only.
 
Nauza Kiwanja 35X35 nusu heka bei milioni 2 kipo Pwani Mkuranga Kata Kiparang'anda Kijiji Kise Jirani na Kise Shule ya Msingi ... Hati ya Kijiji ipo... 0714 400 871... Message tafadhali.
 
Nauza kiwanja Kivule Chakenge chenye ukubwa wa 25/25 na tofari 1200 bei mil 7.5 kipo maeneo safi sana!
Bado kipo? Hapo chakenge sehemu Gani? Nipe maelezo car maeneo hayo nayajua
 
Back
Top Bottom